Kwa muda mrefu, duka langu lilikuwa likipoteza vitu bila sababu ya wazi. Kila wiki kulikuwa na upungufu wa bidhaa, pesa hazikulingana, na hakuna aliyewahi kuonekana akiiba. Nilihisi kama kuna mtu ananidharau waziwazi, lakini kila nilipojaribu kuchunguza, sikupata ushahidi.
Wafanyakazi walinikana, na wateja walikuwa wa kawaida. Nilianza kuingiwa na wasiwasi mkubwa. Nilijitahidi kubadili taratibu, kuhesabu kwa makini, hata kukaa dukani muda mrefu zaidi. Lakini wizi uliendelea kana kwamba aliyehusika alijua ninachofanya kabla sijafanya.
Hali hiyo iliniletea msongo wa mawazo. Biashara ilianza kuyumba, na mimi nikaanza kupoteza imani kwa kila mtu. Nilihisi nimefungwa mikono, nikijiuliza nitaishije ikiwa hali hii itaendelea. Soma zaidi hapa

