Watu nane wamefariki dunia papo hapo baada ya magari mawili, gari moja la abiria na Noah kugongana uso kwa uso katika eneo la Igodima Jijini Mbeya.Ajali hiyo imetokea majira ya saa tano asubuhi ambapo abiria wote waliofariki walikuwa katika gari aina ya Noah ambayo ilikuwa imebeba watu waliokuwa wakielekea msibani Jijini Mbeya.
Trending
- WAZIRI NANAUKA ATAKA VIJANA WASIKILIZWE
- Je, unatafuta kazi kwa muda mrefu fanya hivi
- Waziri Mkuu aagiza Kanisa la Ufufuo na Uzima kufunguliwa
- Kutoka hasara hadi faida katika biashara, mbinu ni hii
- Serie A yampa fedha baada ya kubaini mbinu bora ya betting
- Hatua moja muhimu ya kufanikiwa kibiashara
- MSIGWA Atoa Onyo kwa Vyombo vya Habari vya Nje: Zingatia Maadili
- Namna ya kuimarisha ustawi wa ndoa yako

