Watu nane wamefariki dunia papo hapo baada ya magari mawili, gari moja la abiria na Noah kugongana uso kwa uso katika eneo la Igodima Jijini Mbeya.Ajali hiyo imetokea majira ya saa tano asubuhi ambapo abiria wote waliofariki walikuwa katika gari aina ya Noah ambayo ilikuwa imebeba watu waliokuwa wakielekea msibani Jijini Mbeya.
Trending
- Wizi wa Bima Wafumuliwa, Serikali Yapanga Mashambulizi
- INEC YAHIMIZA WANANCHI MIKOA 16 KUJITOKEZA UBORESHAJI DAFTARI AWAMU YA PILI
- ZIARA KAMATI YA SIASA CCM MKOA MBEYA WATEMBELEA BWENIMRADI WA MIL 300 SEKONDARI SAGAMBI CHUNYA
- KAMATI SIASA MBEYA YAAGIZA STENDI CHUNYA KUJENGWA USIKU NA MCHANA KUKAMILIKA KABLA YA UCHAGUZI MKUU
- CCM MKOA MBEYA ZIARANI CHUNYA MWALUNENGE AAGIZA KUBORESHWA MFUMO USAJILI WAGONJWA SANGAMBI
- Wizara ya Mawasiliano Yaendelea Kushirikiana kwa Karibu na Jeshi la Polisi Kukabili Utapeli Mtandaoni – Mhandisi Maryprisca Mahundi
- TIMU YA MADAKTARI NA WAUGUZI KUTOKA HOSPITALI YA RUFAA YA KANDA MBEYA, TANZANIA WAMETEMBELEA UBALOZI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NCHINI ZAMBIA, TAREHE 12 MEI, 2025
- UCHAGUZI MKUU 2025: MAJIMBO MAPYA NANE YAANZISHWA, 12 YABADILISHWA MAJINA