#MbeyaYetuTv
Mwenge wa Uhuru umeweka jiwe la Msingi mradi wa Kiwanda cha Maji cha Tukuyu Springs Water kilichopo katika Kijiji cha Kibisi wilyani Rungwe mkoani MBEYA.
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa Kiwanda hicho Kiongozi wa Mbio za Mwenge 2019 Mzee Mkongea Ali, amesema kiwanda hicho kinapaswa kuongeza ajira kwa wazawa wa maeneo hayo,

