#MbeyaYetuTv
Mwenge wa Uhuru umeweka jiwe la Msingi mradi wa Kiwanda cha Maji cha Tukuyu Springs Water kilichopo katika Kijiji cha Kibisi wilyani Rungwe mkoani MBEYA.
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa Kiwanda hicho Kiongozi wa Mbio za Mwenge 2019 Mzee Mkongea Ali, amesema kiwanda hicho kinapaswa kuongeza ajira kwa wazawa wa maeneo hayo,
Trending
- KUUNDWA KWA JAB NI HATUA YA KUIMARISHA NA KUBORESHA SEKTA YA HABARI – MAJALIWA
- SPIKA DKT. TULIA ACKSON AFUNGUA KONGAMANO LA WASOMI WA AFRIKA UDSM
- JK ASHIRIKI KUTOA MAFUNZO CHUO KIKUU CHA HAVARD HUKO BOSTON KWA MAWAZIRI WA NCHI ZINAZOENDELEA
- SERIKALI ITAFANYIA KAZI HARAKA MAAZIMIO YA KONGAMANO LA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI- MSIGWA.
- MH. MAHUNDI AKARIBISHWA NA MABANGO JOJO
- MH. MAHUNDI Atembelea Banda la Wakala wa Nishati Vijijini (REA)Atoa Msaada kwa Maendeleo ya Wananchi
- MH. MAHUNDI: Azindua Wakulima Festival 2025: Jojo Mbeya
- TANZANIA HAIWEZI KUWEPO BILA YA MUUNGANO, TUULINDE KWA WIVU- DKT. TULIA