Close Menu
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

Waziri Mkuu aagiza Kanisa la Ufufuo na Uzima kufunguliwa

November 24, 2025

Kutoka hasara hadi faida katika biashara, mbinu ni hii

November 24, 2025

Serie A yampa fedha baada ya kubaini mbinu bora ya betting

November 24, 2025
Facebook X (Twitter) Instagram
Trending
  • Waziri Mkuu aagiza Kanisa la Ufufuo na Uzima kufunguliwa
  • Kutoka hasara hadi faida katika biashara, mbinu ni hii
  • Serie A yampa fedha baada ya kubaini mbinu bora ya betting
  • Hatua moja muhimu ya kufanikiwa kibiashara
  • MSIGWA Atoa Onyo kwa Vyombo vya Habari vya Nje: Zingatia Maadili
  • Namna ya kuimarisha ustawi wa ndoa yako
  • RUNGWE WAINGIA MKATABA WA BILLIONI 1.8 NA KAMPUNI YA KAGWA GENERAL SUPPLIES LIMITED KUJENGA SOKO LA NDIZI LA KISASA
  • Rungwe Wasaini Mkataba wa Bilioni 2.8 Kujenga Soko la Kisasa la Ndizi
Facebook X (Twitter) Instagram
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
Home ยป KIKOSI CHA KUZUIA WIZI WA MIFUGO WATOA VYETI KWA WALIOFANYA VIZURI.
Habari za Kitaifa

KIKOSI CHA KUZUIA WIZI WA MIFUGO WATOA VYETI KWA WALIOFANYA VIZURI.

Mbeya YetuBy Mbeya YetuMarch 5, 2024Updated:March 7, 2024No Comments14 Views
Facebook Twitter Pinterest LinkedIn WhatsApp Reddit Tumblr Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

Jeshi la Polisi Kikosi cha Kuzuia Wizi wa Mifugo Nchini katika kuhakikisha linaboresha huduma bora kwa Wananchi limeendelea kuwatambua na kuwapongeza Askari wa Jeshi hilo wanaofanya kazi vizuri zaidi ya kuhudumia wananchi sambamba na kuzuia uhalifu. Akitoa vyeti vya Pongezi kwa Askari hao leo Machi 01, 2024 katika bwalo la maafisa wa Polisi Arusha, Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Arusha Utawala na Uchumi Bwana Daniel Luloku pamoja na kuwapongeza Askari waliofanya vizuri zaidi amewataka kwenda kufanya kazi kwa nidhamu na kwa weledi mkubwa ilikuhakikisha raia na mali zao wanabaki kuwa salama wakati wote.

Bwana Daniel amewataka Askari wengine kuiga mfano mzuri kutoka kwa Askari waliopata vyeti vya sifa na zawadi lakini pia kuongeza juhudi katika utendaji wao wa kazi za kila siku.

Aidha amebainisha kuwa amefurahishwa na namna ambavyo Jeshi hilo linatumia mbinu ya kubaini na kuzuia matukio ya uhalifu katika jamii kabla ya kutokea huku akitoa wito kwa Jeshi hilo kuendelea kuimarisha mahusiano mazuri na sekta binafsi.

Na. Mwandishi Wetu Jeshi la Polisi.

Jeshi la Polisi Kikosi cha Kuzuia Wizi wa Mifugo Nchini katika kuhakikisha linaboresha huduma bora kwa Wananchi limeendelea kuwatambua na kuwapongeza Askari wa Jeshi hilo wanaofanya kazi vizuri zaidi ya kuhudumia wananchi sambamba na kuzuia uhalifu.

Akitoa vyeti vya Pongezi kwa Askari hao leo Machi 01, 2024 katika bwalo la maafisa wa Polisi Arusha, Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Arusha Utawala na Uchumi Bwana Daniel Luloku pamoja na kuwapongeza Askari waliofanya vizuri zaidi amewataka kwenda kufanya kazi kwa nidhamu na kwa weledi mkubwa ilikuhakikisha raia na mali zao wanabaki kuwa salama wakati wote.

Bwana Daniel amewataka Askari wengine kuiga mfano mzuri kutoka kwa Askari waliopata vyeti vya sifa na zawadi lakini pia kuongeza juhudi katika utendaji wao wa kazi za kila siku.

Aidha amebainisha kuwa amefurahishwa na namna ambavyo Jeshi hilo linatumia mbinu ya kubaini na kuzuia matukio ya uhalifu katika jamii kabla ya kutokea huku akitoa wito kwa Jeshi hilo kuendelea kuimarisha mahusiano mazuri na sekta binafsi.

Kamanda wa Polisi Kikosi cha Kuzuia Wizi wa Mifugo Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi SACP Simon Pasua amesema Jeshi hilo limekua na utaratibu wa kuwatambua na kuwapongeza Askari wanaofanya kazi vizuri zaidi kila mwaka pamoja na kuwatambua wadau walioshirikiana na Jeshi hilo.

SACP Pasua ameongeza kuwa Jeshi hilo litaendelea kuwatambua na kuwapongeza Maafisa, Wakaguzi na Askari watakaofanya kazi vizuri ya kutoa huduma bora ikiwa ni pamoja na kubaini na kutanzua uhalifu hususani ya Wizi wa Mifugo.

Naye Mkaguzi Msaidizi wa Polisi A/INSP Julius Makrk kwa niaba ya Askari waliopata vyeti vya sifa na zawadi pamoja na kushukuru Jeshi hilo kwa kutambua kwa utendaji wao wa kazi, amebainisha kuwa zawadi hiyo imetokana na ushirikiano mzuritoka kwa Askari wengine katika kuzuia uhalifu huku akisema zawadi hiyo itaongeza ufanisi katika utendaji wao wa kazi

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Telegram Email
Mbeya Yetu

Related Posts

Kutoka hasara hadi faida katika biashara, mbinu ni hii

November 24, 2025

Serie A yampa fedha baada ya kubaini mbinu bora ya betting

November 24, 2025

Hatua moja muhimu ya kufanikiwa kibiashara

November 23, 2025

Leave A Reply Cancel Reply

Top Posts

Njia rahisi ya kushinda kesi Mahakamani bila kutoa rushwa

February 7, 2025232

LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)

July 29, 2025230

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024200

WAHITIMU WA UUGUZI NA UKUNGA WAPEWA WITO WA KUONYESHA MAADILI, UPENDO NA HESHIMA KAZINI

August 28, 2025127
Don't Miss
Video Mpya

Waziri Mkuu aagiza Kanisa la Ufufuo na Uzima kufunguliwa

By Mbeya YetuNovember 24, 20250

Kutoka hasara hadi faida katika biashara, mbinu ni hii

November 24, 2025

Serie A yampa fedha baada ya kubaini mbinu bora ya betting

November 24, 2025

Hatua moja muhimu ya kufanikiwa kibiashara

November 23, 2025
Stay In Touch
  • Facebook
  • Twitter
  • Pinterest
  • Instagram
  • YouTube
  • Vimeo

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from SmartMag about art & design.

About Us
About Us

Mbeya Yetu is a dynamic online platform that serves as a comprehensive source for news and information, offering a diverse range of content that caters to the interests and needs of its audience. Focusing on key pillars such as Habari za Kijamii (Social News), Uchumi na Biashara (Economy and Business), Elimu na Vijana (Education and Youth), Afya na Ustawi (Health and Well-being), and Habari za Kitaifa (National News), Mbeya Yetu is committed to keeping its community informed and engaged.

Facebook X (Twitter) Pinterest YouTube WhatsApp
Our Picks

Waziri Mkuu aagiza Kanisa la Ufufuo na Uzima kufunguliwa

November 24, 2025

Kutoka hasara hadi faida katika biashara, mbinu ni hii

November 24, 2025

Serie A yampa fedha baada ya kubaini mbinu bora ya betting

November 24, 2025
Most Popular

Njia rahisi ya kushinda kesi Mahakamani bila kutoa rushwa

February 7, 2025232

LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)

July 29, 2025230

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024200
© 2025 Mbeya Yetu. Powered by Digital Media Innovation Program.
  • Home

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.