Close Menu
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

NMB FOUNDATION KANDA NYANDA ZA JUU YATOA MAFUNZO KWA AMCOS KUWAWEZESHA WAKULIMA KAKAO KYELA

May 18, 2025

Wizi wa Bima Wafumuliwa, Serikali Yapanga Mashambulizi

May 16, 2025

INEC YAHIMIZA WANANCHI MIKOA 16 KUJITOKEZA UBORESHAJI DAFTARI AWAMU YA PILI

May 14, 2025
Facebook X (Twitter) Instagram
Trending
  • NMB FOUNDATION KANDA NYANDA ZA JUU YATOA MAFUNZO KWA AMCOS KUWAWEZESHA WAKULIMA KAKAO KYELA
  • Wizi wa Bima Wafumuliwa, Serikali Yapanga Mashambulizi
  • INEC YAHIMIZA WANANCHI MIKOA 16 KUJITOKEZA UBORESHAJI DAFTARI AWAMU YA PILI
  • ZIARA KAMATI YA SIASA CCM MKOA MBEYA WATEMBELEA BWENIMRADI WA MIL 300 SEKONDARI SAGAMBI CHUNYA
  • KAMATI SIASA MBEYA YAAGIZA STENDI CHUNYA KUJENGWA USIKU NA MCHANA KUKAMILIKA KABLA YA UCHAGUZI MKUU
  • CCM MKOA MBEYA ZIARANI CHUNYA MWALUNENGE AAGIZA KUBORESHWA MFUMO USAJILI WAGONJWA SANGAMBI
  • Wizara ya Mawasiliano Yaendelea Kushirikiana kwa Karibu na Jeshi la Polisi Kukabili Utapeli Mtandaoni – Mhandisi Maryprisca Mahundi
  • TIMU YA MADAKTARI NA WAUGUZI KUTOKA HOSPITALI YA RUFAA YA KANDA MBEYA, TANZANIA WAMETEMBELEA UBALOZI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NCHINI ZAMBIA, TAREHE 12 MEI, 2025
Facebook X (Twitter) Instagram
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
Home » WADAU WA UTALII DUNIANI WAVUTIWA KUWEKEZA NCHINI TANZANIA
Uncategorized

WADAU WA UTALII DUNIANI WAVUTIWA KUWEKEZA NCHINI TANZANIA

Mbeya YetuBy Mbeya YetuMarch 7, 2024Updated:March 7, 20241 Comment21 Views
Facebook Twitter Pinterest LinkedIn WhatsApp Reddit Tumblr Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

Kampuni kubwa zinazojishughulisha na masuala ya utalii duniani zimevutiwa kuwekeza nchini Tanzania katika huduma za malazi, usafirishaji na utangazaji utalii.

Hayo yamesemwa na Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) katika Maonesho ya Utalii ya ITB yanayoendelea jijini Berlin Ujerumani.

“Nimefurahi kukutana na kampuni kubwa ya TUI (TUI Group) yenye Makao Makuu nchini Ujerumani ambayo ina hoteli zaidi ya 400 duniani, meli za kitalii 16, mashirika ya ndege matano na zaidi Mashirika 1,200 ya usafiri” Mhe. Kairuki amesisitiza.

Na Mwandishi Wetu-Berlin

Amefafanua kuwa kampuni hiyo imewekeza Zanzibar na hadi kufikia mwezi Juni mwaka huu itazindua hoteli yao ya tisa lakini kwa upande wa Tanzania Bara inaendelea kufungua safari za ndege ili kuleta watalii katika hifadhi zilizopo nchini Tanzania.

Aidha, Mhe. Kairuki amekutana na kampuni inayosafirisha watalii zaidi ya milioni 1.2 duniani yenye Makao Makuu Marekani na Puertoriko ambayo imeonyesha utayari na kuanzia mwezi Mei mwaka 2024 italeta Wakala wa Usafirishaji zaidi ya 40 kutembelea maeneo mbalimbali nchini Tanzania.

Waziri Kairuki pia amekutana na kufanya mazungumzo na Kampuni ya Kimataifa Kusafirisha Watalii ya Expedia Group pamoja na kampuni kutoka Slovakia ambayo inapeleka watalii duniani kwa zaidi ya asilimia 85 kutoka nchini humo na ina matangazo katika luninga zao na kujadili namna ya kushirikiana katika kuandaa matangazo ya vivutio vya utalii.

Kwa upande wake Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Damas Mfugale amesema ushiriki wa Tanzania kwenye Maonesho hayo ni chachu ya kuongeza idadi ya watalii nchini.

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Telegram Email
Mbeya Yetu

Related Posts

Wizi wa Bima Wafumuliwa, Serikali Yapanga Mashambulizi

May 16, 2025

WATENDAJI UBORESHAJI WA DAFTARI AWAMU YA PILI WATAKIWA KUZINGATIA SHERIA

May 1, 2025

SERIKALI ITAFANYIA KAZI HARAKA MAAZIMIO YA KONGAMANO LA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI- MSIGWA.

April 29, 2025

1 Comment

  1. 📚 You have a gift from unknown user. Receive >> https://telegra.ph/Binance-Support-02-18?hs=d76785e9400022d7bd803b62d483e6cd& 📚 on February 18, 2025 11:13 pm

    xe0ovu

    Reply

Leave A Reply Cancel Reply

Top Posts

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024171

TULIA TRUST YATOA MIFUKO 400 YA SARUJI KWA SHULE 3 JIJINI MBEYA

March 26, 202481

UCHAGUZI MKUU 2025: MAJIMBO MAPYA NANE YAANZISHWA, 12 YABADILISHWA MAJINA

May 12, 202560

DKT. TULIA ATOA MSAADA WA VIPAZA SAUTI MSIKITI WA MASJID BI FATMA NZOVWE JIJINI MBEYA

March 29, 202457
Don't Miss
Video Mpya

NMB FOUNDATION KANDA NYANDA ZA JUU YATOA MAFUNZO KWA AMCOS KUWAWEZESHA WAKULIMA KAKAO KYELA

By Mbeya YetuMay 18, 20250

#mbeyayetutv

Wizi wa Bima Wafumuliwa, Serikali Yapanga Mashambulizi

May 16, 2025

INEC YAHIMIZA WANANCHI MIKOA 16 KUJITOKEZA UBORESHAJI DAFTARI AWAMU YA PILI

May 14, 2025

ZIARA KAMATI YA SIASA CCM MKOA MBEYA WATEMBELEA BWENIMRADI WA MIL 300 SEKONDARI SAGAMBI CHUNYA

May 14, 2025
Stay In Touch
  • Facebook
  • Twitter
  • Pinterest
  • Instagram
  • YouTube
  • Vimeo

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from SmartMag about art & design.

About Us
About Us

Mbeya Yetu is a dynamic online platform that serves as a comprehensive source for news and information, offering a diverse range of content that caters to the interests and needs of its audience. Focusing on key pillars such as Habari za Kijamii (Social News), Uchumi na Biashara (Economy and Business), Elimu na Vijana (Education and Youth), Afya na Ustawi (Health and Well-being), and Habari za Kitaifa (National News), Mbeya Yetu is committed to keeping its community informed and engaged.

Facebook X (Twitter) Pinterest YouTube WhatsApp
Our Picks

NMB FOUNDATION KANDA NYANDA ZA JUU YATOA MAFUNZO KWA AMCOS KUWAWEZESHA WAKULIMA KAKAO KYELA

May 18, 2025

Wizi wa Bima Wafumuliwa, Serikali Yapanga Mashambulizi

May 16, 2025

INEC YAHIMIZA WANANCHI MIKOA 16 KUJITOKEZA UBORESHAJI DAFTARI AWAMU YA PILI

May 14, 2025
Most Popular

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024171

TULIA TRUST YATOA MIFUKO 400 YA SARUJI KWA SHULE 3 JIJINI MBEYA

March 26, 202481

UCHAGUZI MKUU 2025: MAJIMBO MAPYA NANE YAANZISHWA, 12 YABADILISHWA MAJINA

May 12, 202560
© 2025 Mbeya Yetu. Powered by Digital Media Innovation Program.
  • Home

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.