Close Menu
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

RAIS SAMIA atangaza Baraza lake jipya la mawaziri

November 17, 2025

Aondokana na umaskini wa kutupwa baada ya kujua mbinu za betting

November 17, 2025

Nilivyopambana na Baby Mama Aliyenigeuza Mfadhili Pekee Bila Haki, Mpaka Hatimaye Nikaweza Kuwa Karibu na Watoto Wangu Tena

November 16, 2025
Facebook X (Twitter) Instagram
Trending
  • RAIS SAMIA atangaza Baraza lake jipya la mawaziri
  • Aondokana na umaskini wa kutupwa baada ya kujua mbinu za betting
  • Nilivyopambana na Baby Mama Aliyenigeuza Mfadhili Pekee Bila Haki, Mpaka Hatimaye Nikaweza Kuwa Karibu na Watoto Wangu Tena
  • VIDEO: ZIARA YA KUSHTUKIZA YA WAZIRI MKUU DKT. MWIGULU NCHEMBA, HOSPITALI YA RUFAA YA DODOMA
  • Kutoka Kupoteza Kazi Hadi Kujiamini Tena Safari Yangu Ya Kurudi Kuwa Mwanaume wa Nyumba
  • Nilivyopata Utajiri Usionisumbua Baada ya Kuacha Kufuata Marafiki Wenye Mashinikizo
  • BAKWATA YATOA TAMKO JUU YA MATUKIO YA OKT 29 SIKU YA UCHAGUZI MKUU LASOMWA KWA WAISLAMU NCHI NZIMA
  • Nilivyofanikiwa Kuacha Kukasirika Haraka na Kuishi Kwa Amani na Watu
Facebook X (Twitter) Instagram
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
Home » BILIONI NNE KUANZA UJENZI WA HOSPITALI YA RUFAA UKEREWE
Uncategorized

BILIONI NNE KUANZA UJENZI WA HOSPITALI YA RUFAA UKEREWE

Mbeya YetuBy Mbeya YetuMarch 13, 2024No Comments6 Views
Facebook Twitter Pinterest LinkedIn WhatsApp Reddit Tumblr Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Afya imetenga Tsh: Bilioni Nne katika bajeti ya Mwaka huu 2023/24 kwa ajili ya kuanza ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Ukerewe Mkoani Mwanza ili kurahisisha upatikanaji wa huduma za Afya ikiwemo huduma za Kibingwa.

Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amesema hayo leo Machi 13, 2024 wakati wa ziara katika Mkoa wa Mwanza alipoambatana na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI chini ya Mwenyekiti wake Mhe. Stanslaus Nyongo.

“Tunamshukuru sana Rais wetu Mhe. Samia Suluhu Hassan, tunapoelekea Miaka Mitatu ya Rais Samia kwakweli amefanya mambo makubwa sana katika Sekta ya Afya ikiwemo kutenga fedha kiasi cha Shilingi Bilioni Nne kwa ajili ya kujenga Hospitali mpya ya Rufaa ya Ukerewe ambayo itakua na huduma zote ikiwemo huduma za Kibingwa.” Amesema Waziri Ummy

Na. WAF – Mwanza

Amesema, fedha hizo zimepelekwa Mkoani watangaze tenda ya kupata mshauri na mkandarasi wa kujenga Hospitali hiyo ili watu wa Ukerewe wapate huduma zote za Afya karibu ikiwemo huduma za Kibingwa katoka Hospitali ya Ukerewe.

Waziri Ummy amesema kazi ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan inaonekana kwenye dawa, vifaa tiba, kwenye watumishi pamoja na maeneo mengine mengi makubwa aliyoyafanya katika Sekta ya Afya.

Aidha, Waziri Ummy ameutaka uongozi wa Mkoa wa Mwanza kuendelea kuimarisha miundombinu ya maji taka, maji safi pamoja na kutoa elimu ili wananchi wajikinge na magonjwa ya milipuko ikiwemo ugonjwa wa Kipindupindu.

“Niupongeze sana Mkoa wa Mwanza kwa mapambano dhidi ya ugonjwa wa Kipindupindu ambao uliukumba Mkoa huo na kupelekea watu Watatu kupoteza maisha kutokana na ugonjwa huo baada ya kuchelewa kwenda kwenye kituo cha kutolea huduma za Afya.” Amesema Waziri Ummy

Pia, Waziri Ummy amesisitiza kwa Halmashauri pamoja na wadau katika Sekta ya Afya kuajiri watumishi wa Afya wa mikataba ili kuongeza idadi ya watumishi na wananchi wapate huduma bora na kwa haraka.

Mwisho, Waziri Ummy ametoa rai kwa Watanzania kuzingatia ulaji wa vyakula ikiwa ni pamoja na kupunguza matumizi ya sukari, chumvi a mafuta, kuacha tabia bwete, kufanya mazoezi ili kupunguza magonjwa Yasiyoambukiza ikiwemo Kisukari na Shinikizo la Juu la damu kwa kuwa maradhi hayo ni gharama kubwa kuyatibu.

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Telegram Email
Mbeya Yetu

Related Posts

Aondokana na umaskini wa kutupwa baada ya kujua mbinu za betting

November 17, 2025

Nilivyopambana na Baby Mama Aliyenigeuza Mfadhili Pekee Bila Haki, Mpaka Hatimaye Nikaweza Kuwa Karibu na Watoto Wangu Tena

November 16, 2025

Kutoka Kupoteza Kazi Hadi Kujiamini Tena Safari Yangu Ya Kurudi Kuwa Mwanaume wa Nyumba

November 15, 2025

Leave A Reply Cancel Reply

Top Posts

LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)

July 29, 2025230

Njia rahisi ya kushinda kesi Mahakamani bila kutoa rushwa

February 7, 2025224

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024200

WAHITIMU WA UUGUZI NA UKUNGA WAPEWA WITO WA KUONYESHA MAADILI, UPENDO NA HESHIMA KAZINI

August 28, 2025127
Don't Miss
Video Mpya

RAIS SAMIA atangaza Baraza lake jipya la mawaziri

By Mbeya YetuNovember 17, 20250

Aondokana na umaskini wa kutupwa baada ya kujua mbinu za betting

November 17, 2025

Nilivyopambana na Baby Mama Aliyenigeuza Mfadhili Pekee Bila Haki, Mpaka Hatimaye Nikaweza Kuwa Karibu na Watoto Wangu Tena

November 16, 2025

VIDEO: ZIARA YA KUSHTUKIZA YA WAZIRI MKUU DKT. MWIGULU NCHEMBA, HOSPITALI YA RUFAA YA DODOMA

November 15, 2025
Stay In Touch
  • Facebook
  • Twitter
  • Pinterest
  • Instagram
  • YouTube
  • Vimeo

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from SmartMag about art & design.

About Us
About Us

Mbeya Yetu is a dynamic online platform that serves as a comprehensive source for news and information, offering a diverse range of content that caters to the interests and needs of its audience. Focusing on key pillars such as Habari za Kijamii (Social News), Uchumi na Biashara (Economy and Business), Elimu na Vijana (Education and Youth), Afya na Ustawi (Health and Well-being), and Habari za Kitaifa (National News), Mbeya Yetu is committed to keeping its community informed and engaged.

Facebook X (Twitter) Pinterest YouTube WhatsApp
Our Picks

RAIS SAMIA atangaza Baraza lake jipya la mawaziri

November 17, 2025

Aondokana na umaskini wa kutupwa baada ya kujua mbinu za betting

November 17, 2025

Nilivyopambana na Baby Mama Aliyenigeuza Mfadhili Pekee Bila Haki, Mpaka Hatimaye Nikaweza Kuwa Karibu na Watoto Wangu Tena

November 16, 2025
Most Popular

LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)

July 29, 2025230

Njia rahisi ya kushinda kesi Mahakamani bila kutoa rushwa

February 7, 2025224

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024200
© 2025 Mbeya Yetu. Powered by Digital Media Innovation Program.
  • Home

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.