Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh: Kasim Majaliwa Majaliwa tayari amewasili katika Uwanja wa Kimataifa wa Songwe ulioko Mkoani Mbeya na Kupokelewa na Mwenyeji wake Cde: Juma Z. Homera Mkuu wa Mkoa wa Mbeya kwaajiri ya kushiriki Kongamano la Idhaa za Kiswahili Duniani Leo Tarhe18 March 2024 ambalo Kitaifa linafanyika Jijini Mbeya katika Ukumbi wa Eden Highlands Hotel.
Trending
- Ujumbe wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuhusu Maadhimisho ya Sikukuu ya Uhuru.
- Haikuwa tu safari ya kupona, bali safari ya kujikubali
- SERIKALI YA TANZANIA KUWAFUTIA HADHI YA UKIMBIZI WAKIMBIZI WANAOISHI NCHINI.
- MAZISHI YA SAMSON MWAMAKIMBULA
- Mbinu aliyotumia kupata kazi ya udereva baada ya kusota sana
- MHE. SALOME MAKAMBA AIPONGEZA PBPA KWA UTENDAJI KAZI MZURI
- Hofu yake zilianza kuathiri hata furaha ya ndoa yake
- MASACHE AWATAKA WANANCHI KUENDELEA KUSHIKILIA AMANI

