Close Menu
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

Ndoa Yangu Ilikuwa Karibu Kuvunjika Lakini Siri Hii ya Mwisho Iliokoa Mapenzi Yetu

January 24, 2026

Walidhani Ni Bahati Tu Lakini Ukweli Uliofichuka Ulishangaza Kila Mtu

January 24, 2026

NAIBU WAZIRI MAHUNDI AWASIHI WANAFUNZI TENGERU, KUTUMIA ELIMU KUTATUA CHANGAMOTO ZA JAMII

January 23, 2026
Facebook X (Twitter) Instagram
Trending
  • Ndoa Yangu Ilikuwa Karibu Kuvunjika Lakini Siri Hii ya Mwisho Iliokoa Mapenzi Yetu
  • Walidhani Ni Bahati Tu Lakini Ukweli Uliofichuka Ulishangaza Kila Mtu
  • NAIBU WAZIRI MAHUNDI AWASIHI WANAFUNZI TENGERU, KUTUMIA ELIMU KUTATUA CHANGAMOTO ZA JAMII
  • Aliiba Kila Siku Bila Kuonekana Siku Moja Hatua Moja Ilimrudisha Mwenyewe Akiwa Ametikisika
  • Nilianza Kudhoofika Bila Sababu Nilipogundua Nilikuwa Nachawiwa, Njia Hii Ilinilinda Milele
  • Vibaka Wamvamia Mwandishi Rashid Mkwinda wa Mbeya Yetu Ajeruhiwa Vibaya Kichwani na Kulazwa
  • Boss Amtesa Mfanyikazi Bila Kujua Ndiye Mke Anayetakiwa Kumuoa, Yaliyojiri Ni Haya
  • Mama Wa Kambo Apata Usaidizi Wa Kudumu Baada Ya Kupata Mateso Kutoka Kwa Mabinti Wakorofi
Facebook X (Twitter) Instagram
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
Home » Mmbaga afungua Kikao cha Baraza Dogo la Wafanyakazi Jeshi la Zimamoto na Uokoaji nchini Jijini Mbeya
Habari za Kitaifa

Mmbaga afungua Kikao cha Baraza Dogo la Wafanyakazi Jeshi la Zimamoto na Uokoaji nchini Jijini Mbeya

Mbeya YetuBy Mbeya YetuMarch 26, 2024Updated:March 26, 2024No Comments35 Views
Facebook Twitter Pinterest LinkedIn WhatsApp Reddit Tumblr Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

Mkurugenzi wa Usimamizi wa Rasilimali watu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Miriam Mmbaga amefungua Kikao cha Baraza Dogo la Wafanyakazi Jeshi la Zimamoto na Uokoaji nchini Kikao kilichofanyika Jijini Mbeya akiwataka wafanyakazi kufanya kazi kwa uadilifu na kufika kwa wakati eneo la tukio. Kamishina Utawala na Fedha Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mbaraka Semwanza amesema Jeshi la Zimamoto limeendelea kufanya maboresho mbalimbali pamoja na kutoa elimu kwa jamii ambapo serikali imewaongezea vifaa vya kukabiliana na matukio ya ajali kwa kuwapatia magari kumi na mbili ya Zimamoto ambayo yatagawiwa kwenye mikoa mbalimbali. Charo Mangare Kaimu Kamishina wa Opesheni ambaye amesema wamepokea pongezi na maelekezo kutoka Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi na kuahidi kuyafanyia kazi. Maada zinazojadiliwa ni pamoja na kanuni mpya ya mikopo ya PSSSF,mfuko wa uwezeshaji-UTT,elimu juu ya huduma za NMB na utekelezaji wa mpango wa bajeti katika kipindi cha julai 2023 hadi februari 2024 na mwelekeo wa bajeti mwa mwaka 2024/2025.

Mkurugenzi wa Usimamizi wa Rasilimali watu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Miriam Mmbaga amefungua Kikao cha Baraza Dogo la Wafanyakazi Jeshi la Zimamoto na Uokoaji nchini Kikao kilichofanyika Jijini Mbeya akiwataka wafanyakazi kufanya kazi kwa uadilifu na kufika kwa wakati eneo la tukio.

Katika hotuba yake Mmbaga amewataka watumishi wa Zimamoto na Uokoaji kufanya kazi kwa eweledi na uadilifu ili kuongeza mapato ya serikali zaidi akiwataka kuendelea kutoa elimu kwa jamii sanjari na kufika kwa wakati kwenye matukio.

Naye Kamishina Utawala na Fedha Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mbaraka Semwanza amesema Jeshi la Zimamoto limeendelea kufanya maboresho mbalimbali pamoja na kutoa elimu kwa jamii ambapo serikali imewaongezea vifaa vya kukabiliana na matukio ya ajali kwa kuwapatia magari kumi na mbili ya Zimamoto ambayo yatagawiwa kwenye mikoa mbalimbali.

Neno la shukurani limetolewa na Charo Mangare Kaimu Kamishina wa Opesheni ambaye amesema wamepokea pongezi na maelekezo kutoka Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi na kuahidi kuyafanyia kazi.

Maada zinazojadiliwa ni pamoja na kanuni mpya ya mikopo ya PSSSF,mfuko wa uwezeshaji-UTT,elimu juu ya huduma za NMB na utekelezaji wa mpango wa bajeti katika kipindi cha julai 2023 hadi februari 2024 na mwelekeo wa bajeti mwa mwaka 2024/2025.

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Telegram Email
Mbeya Yetu

Related Posts

NAIBU WAZIRI MAHUNDI AWASIHI WANAFUNZI TENGERU, KUTUMIA ELIMU KUTATUA CHANGAMOTO ZA JAMII

January 23, 2026

Child Support Tanzania Yawawezesha Madiwani Mbeya Kuhusu Elimu Jumuishi

January 8, 2026

NMB Yaimarisha Ushirikiano na Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya

January 7, 2026

Leave A Reply Cancel Reply

Top Posts

Njia rahisi ya kushinda kesi Mahakamani bila kutoa rushwa

February 7, 2025310

LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)

July 29, 2025244

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024219

WAHITIMU WA UUGUZI NA UKUNGA WAPEWA WITO WA KUONYESHA MAADILI, UPENDO NA HESHIMA KAZINI

August 28, 2025136
Don't Miss
Uncategorized

Ndoa Yangu Ilikuwa Karibu Kuvunjika Lakini Siri Hii ya Mwisho Iliokoa Mapenzi Yetu

By Mbeya YetuJanuary 24, 20262

Kwa muda mrefu, ndoa yangu ilikuwa kwenye majaribu makubwa. Tulianza kama marafiki wa karibu na…

Walidhani Ni Bahati Tu Lakini Ukweli Uliofichuka Ulishangaza Kila Mtu

January 24, 2026

NAIBU WAZIRI MAHUNDI AWASIHI WANAFUNZI TENGERU, KUTUMIA ELIMU KUTATUA CHANGAMOTO ZA JAMII

January 23, 2026

Aliiba Kila Siku Bila Kuonekana Siku Moja Hatua Moja Ilimrudisha Mwenyewe Akiwa Ametikisika

January 23, 2026
Stay In Touch
  • Facebook
  • Twitter
  • Pinterest
  • Instagram
  • YouTube
  • Vimeo

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from SmartMag about art & design.

About Us
About Us

Mbeya Yetu is a dynamic online platform that serves as a comprehensive source for news and information, offering a diverse range of content that caters to the interests and needs of its audience. Focusing on key pillars such as Habari za Kijamii (Social News), Uchumi na Biashara (Economy and Business), Elimu na Vijana (Education and Youth), Afya na Ustawi (Health and Well-being), and Habari za Kitaifa (National News), Mbeya Yetu is committed to keeping its community informed and engaged.

Facebook X (Twitter) Pinterest YouTube WhatsApp
Our Picks

Ndoa Yangu Ilikuwa Karibu Kuvunjika Lakini Siri Hii ya Mwisho Iliokoa Mapenzi Yetu

January 24, 2026

Walidhani Ni Bahati Tu Lakini Ukweli Uliofichuka Ulishangaza Kila Mtu

January 24, 2026

NAIBU WAZIRI MAHUNDI AWASIHI WANAFUNZI TENGERU, KUTUMIA ELIMU KUTATUA CHANGAMOTO ZA JAMII

January 23, 2026
Most Popular

Njia rahisi ya kushinda kesi Mahakamani bila kutoa rushwa

February 7, 2025310

LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)

July 29, 2025244

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024219
© 2026 Mbeya Yetu. Powered by Digital Media Innovation Program.
  • Home

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.