Close Menu
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

WASHINDI WA MAWAZO BUNIFU WANAZUONI TAASISI YA UHASIBIU TIA KUFANYA ZIARA YA KIMAFUNZO NJE YA NCHI

December 11, 2025

“KUNUNA MWISHO – MWALUNENGE AWAPA MOTISHA VIJANA WA KIWIRA: PESA IPO, CHANGAMKIA FURSA”

December 10, 2025

Alivyovutia fursa kubwa katika kutengeneza samani na kuuza

December 10, 2025
Facebook X (Twitter) Instagram
Trending
  • WASHINDI WA MAWAZO BUNIFU WANAZUONI TAASISI YA UHASIBIU TIA KUFANYA ZIARA YA KIMAFUNZO NJE YA NCHI
  • “KUNUNA MWISHO – MWALUNENGE AWAPA MOTISHA VIJANA WA KIWIRA: PESA IPO, CHANGAMKIA FURSA”
  • Alivyovutia fursa kubwa katika kutengeneza samani na kuuza
  • MEYA ISSA ACHARUKA—AMLIPUA MKANDARASI WA SOKO MATOLA NA STENDI KUU KWA KUCHELEWESHA UJENZI
  • Mama Ashikiliwa Kwa Tuhuma za Mauaji ya Mtoto Wake wa Miaka 10
  • Baada ya hapo ndipo akapata kazi kubwa zaidi!
  • SIMBACHAWENE ATEMBEA MITAANI KUANGALIA USALAMA—AWAPA HONGERA WANANCHI KWA UTULIVU
  • Taarifa nyingine Tena Toka jeshi la polisi
Facebook X (Twitter) Instagram
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
Home » Mbalaza wa Umoja wa Vijana wa CCM Mbeya Mjini, Cde. Timida Fyandomo, Aahidi Msaada wa Godoro kwa Muhitaji katika Ujenzi wa Nyumba ya Tulia Trust
Habari za Kitaifa

Mbalaza wa Umoja wa Vijana wa CCM Mbeya Mjini, Cde. Timida Fyandomo, Aahidi Msaada wa Godoro kwa Muhitaji katika Ujenzi wa Nyumba ya Tulia Trust

Mbeya YetuBy Mbeya YetuMarch 28, 2024Updated:March 28, 2024No Comments39 Views
Facebook Twitter Pinterest LinkedIn WhatsApp Reddit Tumblr Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

Timida Mpoki Fyandomo Mjumbe wa Baraza Kuu la Umoja wa Vijana Taifa Chama Cha Mapinduzi(CCM)Mkoa wa Mbeya ameahidi kutoa godoro kwa mjane Singwava Mwanyanje mwenye watoto sita mkazi wa Itanji Kata ya Iganjo Jijini Mbeya anayejengewa nyumba na Taasisi ya Tulia Trust inayoongozwa na Rais wa Mabunge Duniani Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye ni Mbunge wa Mbeya Mjini.Clemence Mwandemba Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Mbeya amesema Dkt Tulia amekuwa akifanya mambo makubwa nchini kwa kuwagusa watu wenye uhitaji.Kwa upande wake Mwenyekiti wa Mtaa wa Itanji Javin Shaha amesema mama huyo anapitia kipindi kigumu hivyo anahitaji kusaidiwa.Singwava Jackson amewashukuru wadau wote waliofanikisha kumjengea nyumba zaidi Mbunge aliyeguswa na changamoto alizopitia za kuishi kwenye turubai yeye na wanawe sita.

Kwa upande wake Afisa Habari wa Taasisi ya Tulia Trust Joshua Mwakanolo amesema moyo uliooneshwa na Timida Fyandomo unapaswa kuigwa na viongozi wengine.

Taasisi ya Tulia Trust imemjengea nyumba mjane huyo baada ya kumkuta akiishi kwenye turubai yeye na wanawe sita.

Timida Mpoki Fyandomo Mjumbe wa Baraza Kuu la Umoja wa Vijana Taifa Chama Cha Mapinduzi(CCM)Mkoa wa Mbeya ameahidi kutoa godoro kwa mjane Singwava Mwanyanje mwenye watoto sita mkazi wa Itanji Kata ya Iganjo Jijini Mbeya anayejengewa nyumba na Taasisi ya Tulia Trust inayoongozwa na Rais wa Mabunge Duniani Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye ni Mbunge wa Mbeya Mjini.

Ahadi hiyo ameitoa baada ya kutembelea ujenzi wa nyumba unaondelea Mtaa wa Itanji Kata ya Iganjo Jijini Mbeya.

Clemence Mwandemba Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Mbeya amesema Dkt Tulia amekuwa akifanya mambo makubwa nchini kwa kuwagusa watu wenye uhitaji.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Mtaa wa Itanji Javin Shaha amesema mama huyo anapitia kipindi kigumu hivyo anahitaji kusaidiwa.

Aidha Mtendaji wa Mtaa wa Itanji Nuru Msigwa amemshukuru Dkt Tulia kwa kutoa msaada.

Naye Singwava Jackson amewashukuru wadau wote waliofanikisha kumjengea nyumba zaidi Mbunge aliyeguswa na changamoto alizopitia za kuishi kwenye turubai yeye na wanawe sita.

Baadhi ya viongozi wa CCM Kata ya Iganjo wamepata furasa ya kutoa neno wakisema Dkt Tulia anakiwakilisha vema Chama Cha Mapinduzi.

Kwa upande wake Afisa Habari wa Taasisi ya Tulia Trust Joshua Mwakanolo amesema moyo uliooneshwa na Timida Fyandomo unapaswa kuigwa na viongozi wengine.

Taasisi ya Tulia Trust imemjengea nyumba mjane huyo baada ya kumkuta akiishi kwenye turubai yeye na wanawe sita.

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Telegram Email
Mbeya Yetu

Related Posts

TANZANIA NA MAREKANI ZASONGA MBELE KUKAMILISHA MAKUBALIANO MAKUBWA YA UWEKEZAJI

December 9, 2025

TANZANIA AND U.S. MOVE TO FINALISE MAJOR INVESTMENT AGREEMENTS

December 8, 2025

MHE. SALOME MAKAMBA AIPONGEZA PBPA KWA UTENDAJI KAZI MZURI

December 6, 2025

Leave A Reply Cancel Reply

Top Posts

Njia rahisi ya kushinda kesi Mahakamani bila kutoa rushwa

February 7, 2025249

LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)

July 29, 2025234

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024208

WAHITIMU WA UUGUZI NA UKUNGA WAPEWA WITO WA KUONYESHA MAADILI, UPENDO NA HESHIMA KAZINI

August 28, 2025130
Don't Miss
Video Mpya

WASHINDI WA MAWAZO BUNIFU WANAZUONI TAASISI YA UHASIBIU TIA KUFANYA ZIARA YA KIMAFUNZO NJE YA NCHI

By Mbeya YetuDecember 11, 20251

#mbeyayetutv

“KUNUNA MWISHO – MWALUNENGE AWAPA MOTISHA VIJANA WA KIWIRA: PESA IPO, CHANGAMKIA FURSA”

December 10, 2025

Alivyovutia fursa kubwa katika kutengeneza samani na kuuza

December 10, 2025

MEYA ISSA ACHARUKA—AMLIPUA MKANDARASI WA SOKO MATOLA NA STENDI KUU KWA KUCHELEWESHA UJENZI

December 10, 2025
Stay In Touch
  • Facebook
  • Twitter
  • Pinterest
  • Instagram
  • YouTube
  • Vimeo

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from SmartMag about art & design.

About Us
About Us

Mbeya Yetu is a dynamic online platform that serves as a comprehensive source for news and information, offering a diverse range of content that caters to the interests and needs of its audience. Focusing on key pillars such as Habari za Kijamii (Social News), Uchumi na Biashara (Economy and Business), Elimu na Vijana (Education and Youth), Afya na Ustawi (Health and Well-being), and Habari za Kitaifa (National News), Mbeya Yetu is committed to keeping its community informed and engaged.

Facebook X (Twitter) Pinterest YouTube WhatsApp
Our Picks

WASHINDI WA MAWAZO BUNIFU WANAZUONI TAASISI YA UHASIBIU TIA KUFANYA ZIARA YA KIMAFUNZO NJE YA NCHI

December 11, 2025

“KUNUNA MWISHO – MWALUNENGE AWAPA MOTISHA VIJANA WA KIWIRA: PESA IPO, CHANGAMKIA FURSA”

December 10, 2025

Alivyovutia fursa kubwa katika kutengeneza samani na kuuza

December 10, 2025
Most Popular

Njia rahisi ya kushinda kesi Mahakamani bila kutoa rushwa

February 7, 2025249

LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)

July 29, 2025234

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024208
© 2025 Mbeya Yetu. Powered by Digital Media Innovation Program.
  • Home

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.