Wananchi wa Kijiji cha Ifumbo Kata ya Ifumbo Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya wamelazimika kuzikimbia nyumba zao baada ya Jeshi la Polisi kuwatawanya kwa mabomu ya machozi mto Zira wakidai Mwekezaji mwenye asili ya Kichina aondoke eneo hilo kwa madai ya kuharibu mazingira.
Trending
- Kutoka kusota hadi usukani wenye utajiri
- Ikulu Dodoma: Rais Samia Azungumza na Mawaziri Baada ya Kuwaapisha
- Alivyokabiliana na changamoto ya ukosefu wa hamu ya tendo hadi kuishinda
- DKT. MWIGULU AKABIDHIWA OFISI RASMI
- Dkt. Tulia Aingia Uyole Kwa Kasi ya Moto: Afufua Makazi ya Mzee Aliyepata Janga la Moto
- Safari ya Uponyaji Kutoka katika Maumivu ya Hedhi
- RAIS SAMIA atangaza Baraza lake jipya la mawaziri
- Aondokana na umaskini wa kutupwa baada ya kujua mbinu za betting

