Close Menu
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

VIDEO: ZIARA YA KUSHTUKIZA YA WAZIRI MKUU DKT. MWIGULU NCHEMBA, HOSPITALI YA RUFAA YA DODOMA

November 15, 2025

Kutoka Kupoteza Kazi Hadi Kujiamini Tena Safari Yangu Ya Kurudi Kuwa Mwanaume wa Nyumba

November 15, 2025

Nilivyopata Utajiri Usionisumbua Baada ya Kuacha Kufuata Marafiki Wenye Mashinikizo

November 15, 2025
Facebook X (Twitter) Instagram
Trending
  • VIDEO: ZIARA YA KUSHTUKIZA YA WAZIRI MKUU DKT. MWIGULU NCHEMBA, HOSPITALI YA RUFAA YA DODOMA
  • Kutoka Kupoteza Kazi Hadi Kujiamini Tena Safari Yangu Ya Kurudi Kuwa Mwanaume wa Nyumba
  • Nilivyopata Utajiri Usionisumbua Baada ya Kuacha Kufuata Marafiki Wenye Mashinikizo
  • BAKWATA YATOA TAMKO JUU YA MATUKIO YA OKT 29 SIKU YA UCHAGUZI MKUU LASOMWA KWA WAISLAMU NCHI NZIMA
  • Nilivyofanikiwa Kuacha Kukasirika Haraka na Kuishi Kwa Amani na Watu
  • Nilivyopata Upendo wa Kweli Baada ya Miaka ya Kutumiwa na Kuumizwa
  • Rais Samia Atoa Msamaha kwa Waliojiingiza Kwenye Machafuko Bila Kudhamiria
  • Dkt. Samia Amuapisha Dkt. Mwigulu: Tanzania Yapata Waziri Mkuu Mpya
Facebook X (Twitter) Instagram
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
Home ยป Dawa iliyoniokoa na ugonjwa wa Kifua Kikuu (TB), ni hii hapa!
Matukio ya Kijamii

Dawa iliyoniokoa na ugonjwa wa Kifua Kikuu (TB), ni hii hapa!

Mbeya YetuBy Mbeya YetuJanuary 30, 20251 Comment24 Views
Facebook Twitter Pinterest LinkedIn WhatsApp Reddit Tumblr Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

Licha ya matangazo mengi katika vyombo vya habari kuwa Kifua Kikuu (TB) ni ugonjwa unaotibika kwa urahisi na watu wasione aibu kwenda Hospitalini, kwani hali hiyo kwangu ilikuwa ni tofauti kabisa.

Nadhubutu kusema hivyo kutokana baada ya kupata maradhi ya TB nilitumia dawa kwa kipindi kirefu bila mafanikio yoyote, zaidi nilipata nafuhu lakini baada ya muda hali ilirejea kuwa mbaya zaidi.

Kwa majina ni Dulla, nilikuwa nafanya kazi katika mgodi wa dhahabu kwa miaka zaidi ya 10, mazingira ya mgodi na matumizi ya vifaaย  duni vya kufanyia kazi ni moja ya sababu za kuugua ugonjwa wa TB kwani hata marafiki zangu wengi walikumbwa na ugonjwa huo.

Kabla sijaanza kuumwa, mara kadhaa nilikuwa naona watalaamu wa afya wakija eneo letu la kazi na kutupatia semina pamoja na ushauri namna ambavyo tutaweza kuwa salama kiafaya.

Sikuwahi kifikiria siku moja nami nitaweza kuugua ugonjwa huo kwani katika familia yetu hakuna mtu mwenye histoaria hiyo, na pengine kwa vile nilikuwa mzima na kusikia nguvu ya ajabu katika mwili wangu sikuwa na shaka kabisa.

Nilianza kuwa na wasiwasi pale ambapo kila mara nilikuwa nakohoa kikozi kisichoisha, niliona ni hali ya kawaida lakini kadiri siku zilivyozidi kusonga ndivyo ambavyo mambo kwangu yalizidi kuwa magumu.

Hatimaye niliamua kwenda Hospitali kupima kujua ni kipi hasa nimenisibu, na ndipo nilionekana kuwa ni ugonjwa wa TB, nilianza dozi mara moja na kuachana na kazi ya mgodini kama ambavyo nilishauriwa na wataalumu.

Nilitumia dawa zile kwa miezi kadhaa hadi zikaisha lakini sikuweza kupona kabisa, hata nilipopatiwa aina nyingine ya dawa sikuweza kupona hali iliyonipa sana msongo wa mawazo.

Ghafla siku moja nikiwa nimeketi kibarazani lilinijia wazo kuwa nitafute dawa wa TB mtandaoni, katika kusoma huku na kule ndipo nikakutana na mtu anaitwa Dr Bokko kupitia mitandao ya kijamii.

Bila kusita nilichukua namba yake ambao ni +255618536050 na kuanza kuwasiliana naye, nilimsimulia kuhusu tatizo langu na jinsi ambavyo limekuwa likinitesa.

Alinitoa hofu kuwa dawa zake zimekuwa zikiwasaidia wengi ukanda wa Afrika Mashariki hivyo nitapona kabisa.

Nilifunga safari na kufika ofisini kwake, alinipokea vizuri sana na kunipatia tiba asilia ambayo naweza kusema ndio hasa imekuja kukomboa maisha yangu na hadi sasa ni mzima wa afya.

Kwa muda mfupi nilipoanza kutumia dawa za Dr Bokko hali yangu ya kiafya iliimarika sana kiasi kwamba nikasema ningebaini hilo mapema ningekuwa nishapona na kuendelea na shughuli zangu. Asante sana Dr Bokko.

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Telegram Email
Mbeya Yetu

Related Posts

Kutoka kuchunga ngโ€™ombe hadi kushinda Sh27.4 milioni ya jackpot

August 29, 2025

Spika wa Bunge la Tanzania aongoza Waombolezaji kutoa Rambirambi kwa Kifo cha Katibu wa Bunge la Zambia

April 8, 2025

Wezi waliopora Sh16 milioni dukani wazingira na nyuki mikononi!

February 20, 2025

1 Comment

  1. ๐Ÿ“Š You have a transaction from user. Confirm >>> https://telegra.ph/Get-BTC-right-now-01-22?hs=47aa0ca299a369678591333903e33437& ๐Ÿ“Š on February 2, 2025 8:41 am

    8tq1lo

    Reply

Leave A Reply Cancel Reply

Top Posts

LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)

July 29, 2025229

Njia rahisi ya kushinda kesi Mahakamani bila kutoa rushwa

February 7, 2025220

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024200

WAHITIMU WA UUGUZI NA UKUNGA WAPEWA WITO WA KUONYESHA MAADILI, UPENDO NA HESHIMA KAZINI

August 28, 2025127
Don't Miss
Video Mpya

VIDEO: ZIARA YA KUSHTUKIZA YA WAZIRI MKUU DKT. MWIGULU NCHEMBA, HOSPITALI YA RUFAA YA DODOMA

By Mbeya YetuNovember 15, 20251

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Novemba 15, 2025 amefanya ziara ya kushtukiza katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma na kuziagiza hospitali zote nchini zihakikishe wajawazito wanapofika hospitali wahudumiwe kwa haraka ili kuokoa maisha ya mama na mtoto.

Pia, Waziri Mkuu ameiagiza Wizaya ya Afya, Bohari ya Dawa (MSD) na Hospitali zote nchini ziweke vipaumbele vya kuwa na dawa kulingana na mahitaji ya eneo husika. โ€œ Haipendezi mwananchi kufika hospitali na kupatiwa vipimo vyote kisha anaambiwa dawa akanunue kwingine, kama duka binafsi linaweza kupata dawa hizo, inawezekanaje hospitali za serikali hapati? Naagiza Hospitali zote ziwe na dawa.โ€

Ametoa maagizo hayo wakati akizungumza na wananchi nje ya hospitali hiyo baada ya kutembelea wananchi waliofika hospitalini hapo kupata huduma mbalimbali za kitabibu ambapo amesisitiza wananchi waendelee kuhudumiwa vizuri kwa kuwa Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa fedha nyingi kwa ajili ya kuboresha huduma za afya nchini vikiwemo vifaa tiba na dawa.

Kadhalika Mheshimiwa Waziri Mkuu ameziagiza hospitali zote nchini zihakikishe zinakuwa na vifaa vya usafi binafsi vya dharura vikiwemo ndoo na beseni katika wodi za wazazi ili viwasaidie akinamama wasiokuwa na vifaa hivyo. โ€œUjauzito sio suala la dharura vifaa kama ndoo tunapaswa kuwa navyo katika hospitali zetu za serikali.โ€

Dkt. Mwigulu ametumia fursa hiyo kumpongeza Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kazi kubwa anayoifanya katika uboreshaji wa huduma za afya nchini. Waziri Mkuu akiwa hospitalini hapo, wananchi walimueleza kuwa wanahudumiwa vizuri na kwa uangalizi wa karibu.

Wakizungumza kwa nyakati tofauti wagonjwa na wananchi wanaoguza ndugu zao wamempongeza Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuhakikisha wananchi wanapatiwa huduma bora za afya.

Kutoka Kupoteza Kazi Hadi Kujiamini Tena Safari Yangu Ya Kurudi Kuwa Mwanaume wa Nyumba

November 15, 2025

Nilivyopata Utajiri Usionisumbua Baada ya Kuacha Kufuata Marafiki Wenye Mashinikizo

November 15, 2025

BAKWATA YATOA TAMKO JUU YA MATUKIO YA OKT 29 SIKU YA UCHAGUZI MKUU LASOMWA KWA WAISLAMU NCHI NZIMA

November 14, 2025
Stay In Touch
  • Facebook
  • Twitter
  • Pinterest
  • Instagram
  • YouTube
  • Vimeo

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from SmartMag about art & design.

About Us
About Us

Mbeya Yetu is a dynamic online platform that serves as a comprehensive source for news and information, offering a diverse range of content that caters to the interests and needs of its audience. Focusing on key pillars such as Habari za Kijamii (Social News), Uchumi na Biashara (Economy and Business), Elimu na Vijana (Education and Youth), Afya na Ustawi (Health and Well-being), and Habari za Kitaifa (National News), Mbeya Yetu is committed to keeping its community informed and engaged.

Facebook X (Twitter) Pinterest YouTube WhatsApp
Our Picks

VIDEO: ZIARA YA KUSHTUKIZA YA WAZIRI MKUU DKT. MWIGULU NCHEMBA, HOSPITALI YA RUFAA YA DODOMA

November 15, 2025

Kutoka Kupoteza Kazi Hadi Kujiamini Tena Safari Yangu Ya Kurudi Kuwa Mwanaume wa Nyumba

November 15, 2025

Nilivyopata Utajiri Usionisumbua Baada ya Kuacha Kufuata Marafiki Wenye Mashinikizo

November 15, 2025
Most Popular

LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)

July 29, 2025229

Njia rahisi ya kushinda kesi Mahakamani bila kutoa rushwa

February 7, 2025220

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024200
© 2025 Mbeya Yetu. Powered by Digital Media Innovation Program.
  • Home

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.