Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia Ackson, ameongoza waombolezaji kutoka Kundi la Afrika pamoja na mataifa rafiki ya Afrika ndani ya IPU kutoa salamu za rambirambi kwa Spika wa Bunge la Zambia, Mhe. Nelly Mutti, kufuatia kifo cha Katibu wa Bunge la Zambia, Marehemu Roy Ngulube, aliyefariki dunia tarehe 7 Aprili 2025 nchini Uzbekistan. Tukio hilo limefanyika leo, tarehe 8 Aprili 2025, jijini Tashkent, Uzbekistan.
Trending
- KAILIMA AFUNGA KIKAO CHA UPANGAJI WA RATIBA YA KAMPENI ZA WAGOMBEA URAIS
- Pastor akimbia baada ya mke wake kuvamia madhabahu akilia
- MAHUNDI Atamka Hadharani: Samia na Tulia Ushindi wa Kishindo 2025
- Jinsi ya Kumkamata Mpenzi Wako Akiwa na Mpango wa Kando Bila Stress
- Masache Kasaka achukua fomu ya Ubunge Lupa Chunya aingia site kibabe
- MAHUNDI: CHAMA CHA MAPINDUZI NA MPEPERUSHA BENDERA MWALUNENGE NDIYO HABARI YA MBEYA MJINI
- “Nguvu ya Umoja: Mwakipesile Amuunga Mkono Patric Mwalunenge kuanzia Kampeni Hadi Ushindi”
- Ipyana Samson Ajitosa Rasmi Uyole, CHAUMMA Yataka Kuandika Historia Mpya