Close Menu
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

Nilipoteza Mali Yote Baada ya Talaka, Lakini Hatua Niliyopiga Ilinirudishia Kila Kitu

September 18, 2025

BENKI YA NMB YATAHADHARISHA WALIMU UTAPELI MATUMIZI YA ATM CARD

September 18, 2025

Nilishindwa Mitihani Mara Nne, Lakini Hatua Niliyopiga Ilinifanya Nifaulu Kwa Alama za Juu

September 18, 2025
Facebook X (Twitter) Instagram
Trending
  • Nilipoteza Mali Yote Baada ya Talaka, Lakini Hatua Niliyopiga Ilinirudishia Kila Kitu
  • BENKI YA NMB YATAHADHARISHA WALIMU UTAPELI MATUMIZI YA ATM CARD
  • Nilishindwa Mitihani Mara Nne, Lakini Hatua Niliyopiga Ilinifanya Nifaulu Kwa Alama za Juu
  • PASTOR EZEKIEL ODERO AWAOMBA WATANZANIA KUDUMISHA AMANI KUELEKEA UCHAGUZ! MKUU
  • Nilikataliwa na Wanaume Wote Lakini Hatua Niliyopiga Ilinifanya Niolewe na Tajiri
  • Aibu!! Askofu Mkuu abainika kuiba fedha kanisa lake
  • Kongamano la Uchumi Jumuishi Kuelekea Dira 2050 Kufanyika Mbeya
  • Prof. Makulilo: Watanzania Wajiandae kwa Uchumi Jumuishi Kuelekea Dira 2050
Facebook X (Twitter) Instagram
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
Home » Dkt. Tulia Azindua Ambulansi Mpya kwa Kituo cha Afya Mwakibete ili Kuboresha Huduma za Afya Mbeya
Afya na Ustawi

Dkt. Tulia Azindua Ambulansi Mpya kwa Kituo cha Afya Mwakibete ili Kuboresha Huduma za Afya Mbeya

Mbeya YetuBy Mbeya YetuApril 19, 2025Updated:April 19, 2025No Comments5 Views
Facebook Twitter Pinterest LinkedIn WhatsApp Reddit Tumblr Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambaye pia ni Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Mbunge wa Mbeya Mjini, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, leo tarehe 19 Aprili 2025, amezindua gari la kubebea wagonjwa (ambulance) lililotolewa na Serikali kwa ajili ya Kituo cha Afya cha Mwakibete, jijini Mbeya. Uzinduzi huo unalenga kuboresha utoaji wa huduma za afya kwa wakati kwa wakazi wa Jiji hilo.

Akizungumza katika hafla hiyo, Dkt. Tulia amewashukuru Viongozi wa Serikali kwa kuendelea kupeleka huduma muhimu kwa wananchi, huku akiwataka wakazi wa Jiji la Mbeya kujitokeza kwa wingi katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 na kumpigia kura kwa kishindo Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kama ishara ya kutambua na kuunga mkono kazi kubwa na nzuri anayoifanya katika kuboresha maisha ya Watanzania.

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Telegram Email
Mbeya Yetu

Related Posts

WAHITIMU WA UUGUZI NA UKUNGA WAPEWA WITO WA KUONYESHA MAADILI, UPENDO NA HESHIMA KAZINI

August 28, 2025

“Serikali yajizatiti kumaliza Fistula — Huduma bora kwa mama na mtoto yazidi kupewa kipaumbele”

May 21, 2025

April 19, 2025

Leave A Reply Cancel Reply

Top Posts

LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)

July 29, 2025210

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024184

Njia rahisi ya kushinda kesi Mahakamani bila kutoa rushwa

February 7, 2025127

WAHITIMU WA UUGUZI NA UKUNGA WAPEWA WITO WA KUONYESHA MAADILI, UPENDO NA HESHIMA KAZINI

August 28, 2025125
Don't Miss
Uncategorized

Nilipoteza Mali Yote Baada ya Talaka, Lakini Hatua Niliyopiga Ilinirudishia Kila Kitu

By Mbeya YetuSeptember 18, 20251

Jiji lote lilijua kesi yangu ya talaka. Ilikuwa gumzo mitaani na hata kazini. Siku ya…

BENKI YA NMB YATAHADHARISHA WALIMU UTAPELI MATUMIZI YA ATM CARD

September 18, 2025

Nilishindwa Mitihani Mara Nne, Lakini Hatua Niliyopiga Ilinifanya Nifaulu Kwa Alama za Juu

September 18, 2025

PASTOR EZEKIEL ODERO AWAOMBA WATANZANIA KUDUMISHA AMANI KUELEKEA UCHAGUZ! MKUU

September 18, 2025
Stay In Touch
  • Facebook
  • Twitter
  • Pinterest
  • Instagram
  • YouTube
  • Vimeo

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from SmartMag about art & design.

About Us
About Us

Mbeya Yetu is a dynamic online platform that serves as a comprehensive source for news and information, offering a diverse range of content that caters to the interests and needs of its audience. Focusing on key pillars such as Habari za Kijamii (Social News), Uchumi na Biashara (Economy and Business), Elimu na Vijana (Education and Youth), Afya na Ustawi (Health and Well-being), and Habari za Kitaifa (National News), Mbeya Yetu is committed to keeping its community informed and engaged.

Facebook X (Twitter) Pinterest YouTube WhatsApp
Our Picks

Nilipoteza Mali Yote Baada ya Talaka, Lakini Hatua Niliyopiga Ilinirudishia Kila Kitu

September 18, 2025

BENKI YA NMB YATAHADHARISHA WALIMU UTAPELI MATUMIZI YA ATM CARD

September 18, 2025

Nilishindwa Mitihani Mara Nne, Lakini Hatua Niliyopiga Ilinifanya Nifaulu Kwa Alama za Juu

September 18, 2025
Most Popular

LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)

July 29, 2025210

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024184

Njia rahisi ya kushinda kesi Mahakamani bila kutoa rushwa

February 7, 2025127
© 2025 Mbeya Yetu. Powered by Digital Media Innovation Program.
  • Home

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.