Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kwa kushirikiana na Mamlaka ya Kupambana na Kuzuia Dawa za Kulevya Aprili 19, 2025 limefanikiwa kukamata Gari yenye namba za usajili T833EDN aina ya Mitsubishi Canter ikiwa imebeba shehena ya Dawa za Kulevya aina ya Bhangi mafurushi 67 ikitokea nchi jirani ya Malawi.
Trending
- MAZISHI YA SAMSON MWAMAKIMBULA
- Mbinu aliyotumia kupata kazi ya udereva baada ya kusota sana
- MHE. SALOME MAKAMBA AIPONGEZA PBPA KWA UTENDAJI KAZI MZURI
- Hofu yake zilianza kuathiri hata furaha ya ndoa yake
- MASACHE AWATAKA WANANCHI KUENDELEA KUSHIKILIA AMANI
- MH. MASACHE: TUENDELEE KUISIMAMIA MIRADI ILIYOKUWEPO NA KUIBUA MIPYA AWASHUKURU WANA CHUNYA
- MH. NOAH MWAKISU AAPISHWA RASMI KUWA DIWANI KATA YA ILOMBA
- Dourmohamed Issa ashinda kwa kishindo Umeya na kutetea nafasi yake

