Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson ametuma salamu za pole kwa Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, Mhashamu Askofu Wolfgang Pisa, pamoja na waumini wote wa Kanisa Katoliki kufuatia kifo cha Kiongozi Mkuu wa Kanisa hilo, Papa Francis. Dkt. Tulia amesema taifa linaungana na waumini wa Kanisa Katoliki katika kipindi hiki kigumu cha maombolezo.
Trending
- RUNGWE WAINGIA MKATABA WA BILLIONI 1.8 NA KAMPUNI YA KAGWA GENERAL SUPPLIES LIMITED KUJENGA SOKO LA NDIZI LA KISASA
- Rungwe Wasaini Mkataba wa Bilioni 2.8 Kujenga Soko la Kisasa la Ndizi
- Safari Kuelekea Furaha ya Ndoa Iliyokosekana Kwa Muda Mrefu
- Badili upepo wa Biashara Yako Hadi Mafanikio
- Watumishi wazembe hawatakuwa na nafasi-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba
- Dkt. Mwigulu: “Mabasi ya Esther Yamechomwa Wakidhani Ni Yangu”
- Mama Dkt. Samia Atua Arusha atoa neno
- Mbinu ya kupata faida katika biashara ya samaki, uvuvi

