Close Menu
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

Bodaboda Waliiba Simu Yangu Lakini Walirudisha Wakiwa Wanalilia Hadharani”

September 2, 2025

PART.1- Dr. David Nassoro “Fahamu Kiharusi na Degedege: Sababu, Dalili na Namna ya Kukabiliana Nayo”

September 1, 2025

“Kasaka: Chunya Tumejipanga, Kura za Rais Samia Ni Ushindi wa Kishindo”

September 1, 2025
Facebook X (Twitter) Instagram
Trending
  • Bodaboda Waliiba Simu Yangu Lakini Walirudisha Wakiwa Wanalilia Hadharani”
  • PART.1- Dr. David Nassoro “Fahamu Kiharusi na Degedege: Sababu, Dalili na Namna ya Kukabiliana Nayo”
  • “Kasaka: Chunya Tumejipanga, Kura za Rais Samia Ni Ushindi wa Kishindo”
  • Mama Samia Kutua Mbeya 4/9: Wanambeya Wajipanga Kumlaki Mgombea Urais CCM
  • Binti Aliyeishi Mitaani Leo Anaendesha Gari Aina ya Range Rover
  • Wakora walivunja duka langu lakini baada ya masaa nne pekee wakarejesha pesa zote
  • Siri Yangu Ya Kuvutia Wateja Hadi Dukani Kwangu, Sasa Biashara Imekuwa Tajiriba Kubwa
  • Nyuki wa Ajabu Wamfukuza Mwanamke Kwa Aibu Kubwa Kutoka Kwa Nyumba ya Mpenzi
Facebook X (Twitter) Instagram
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
Home » Waziri Aweso: Miradi Ya Maji Yapiga Hatua, Sasa Tuimarishe Huduma na Udhibiti wa Upotevu wa Maji
Habari za Kitaifa

Waziri Aweso: Miradi Ya Maji Yapiga Hatua, Sasa Tuimarishe Huduma na Udhibiti wa Upotevu wa Maji

Mbeya YetuBy Mbeya YetuMay 28, 2025Updated:May 28, 2025No Comments37 Views
Facebook Twitter Pinterest LinkedIn WhatsApp Reddit Tumblr Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

Waziri wa maji Mhe. Jumaa Hamidu Aweso amesema Wizara ya maji imepiga hatua kwenye ujenzi wa miradi ya maji nchini hivyo kinachotakiwa kwa sasa ni kuboresha huduma kwa wateja na kudhibiti upotevu wa maji.

Mhe. Waziri Aweso amesema hayo wakati akizungumza kwenye kikao kazi cha wakurugenzi wa huduma kwa wateja wa mamlaka za maji nchini kilichofanyika Mei 28, 2025 jijini Mbeya, kikao kinachofanyika kwa muda wa siku tano kuanzia Mei 26, 2025.

Amemuagiza katibu mkuu wa wizara hiyo Mhandisi Mwajuma Waziri, kuelekeza nguvu zake kwenye kuwasimamia watendaji kuhakikisha huduma ya maji inakuwa bora kwa wateja wao kwani kwa sasa miradi imeendelea kujengwa kila uchao bila udanganyifu tofauti na hapo awali.

Pia Waziri Aweso ameeleza kukerwa na kitendo cha wateja wapya kukaa muda mrefu wa hadi miezi sita wakisubiri kuunganishiwa huduma ya maji akikemea suala hilo kwa wataalam wa maji kote nchini na kuacha tabia ya kukadiria bill za maji wateja bila kuwa na uhakika nazo hivyo kuwaumiza wananchi.

Kwa upande wake Katibu mkuu wa wizara ya maji Mwajuma Waziri amesema wakati muafaka kwenda kuthibitisha kwa vitendo kauli mbiu ya matarajio ya wateja kwa kuhakikisha huduma inakuwa bora zaidi.

Hata hivyo amewataka wataalam hao kujenga ushirikiano ili kuboresha utendaji kazi kwenye idara na mamlaka zote za maji nchini.

Mkurugenzi msaidizi wa usimamizi utoaji wa huduma kutoka wizara ya maji bi. Nancy Mduma, amesema baadhi ya changamoto zinazozikabili idara ya maji ni madeni ikiwemo kwenye baadhi ya taasisi za umma na kuahidi kuendelea kulivalia njuga suala la madeni ikiwa ni pamoja na uboreshaji huduma kwa wateja kupitia pia mafunzo.

Kikao hicho kilianza Mei 26, 2025 na kunatarajiwa kutamatika Mei 30, 2025 kikijumuisha wakurugenzi wote wa huduma kwa wateja kote nchini na wataalam mbalimbali wa wizara ya maji.

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Telegram Email
Mbeya Yetu

Related Posts

Mbeya Yatikisika! Dkt. Tulia Achukua Fomu Ubunge Jimbo Jipya la Uyole

August 25, 2025

TAKUKURU Mbeya Yaokoa Milioni 47 na Kuongeza Mapato ya Halmashauri Zaidi ya Milioni 200

August 19, 2025

MGOMBEA NCCR MAGEUZI AJITOKEZA KUCHUKUA FOMU ZA UTEUZI

August 15, 2025

Leave A Reply Cancel Reply

Top Posts

LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)

July 29, 2025206

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024184

WAHITIMU WA UUGUZI NA UKUNGA WAPEWA WITO WA KUONYESHA MAADILI, UPENDO NA HESHIMA KAZINI

August 28, 2025117

Njia rahisi ya kushinda kesi Mahakamani bila kutoa rushwa

February 7, 202596
Don't Miss
Uncategorized

Bodaboda Waliiba Simu Yangu Lakini Walirudisha Wakiwa Wanalilia Hadharani”

By Mbeya YetuSeptember 2, 20250

Matukio ya wizi katika maeneo mengi ya Kenya yamekuwa kero kubwa kwa wananchi ambao mara…

PART.1- Dr. David Nassoro “Fahamu Kiharusi na Degedege: Sababu, Dalili na Namna ya Kukabiliana Nayo”

September 1, 2025

“Kasaka: Chunya Tumejipanga, Kura za Rais Samia Ni Ushindi wa Kishindo”

September 1, 2025

Mama Samia Kutua Mbeya 4/9: Wanambeya Wajipanga Kumlaki Mgombea Urais CCM

September 1, 2025
Stay In Touch
  • Facebook
  • Twitter
  • Pinterest
  • Instagram
  • YouTube
  • Vimeo

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from SmartMag about art & design.

About Us
About Us

Mbeya Yetu is a dynamic online platform that serves as a comprehensive source for news and information, offering a diverse range of content that caters to the interests and needs of its audience. Focusing on key pillars such as Habari za Kijamii (Social News), Uchumi na Biashara (Economy and Business), Elimu na Vijana (Education and Youth), Afya na Ustawi (Health and Well-being), and Habari za Kitaifa (National News), Mbeya Yetu is committed to keeping its community informed and engaged.

Facebook X (Twitter) Pinterest YouTube WhatsApp
Our Picks

Bodaboda Waliiba Simu Yangu Lakini Walirudisha Wakiwa Wanalilia Hadharani”

September 2, 2025

PART.1- Dr. David Nassoro “Fahamu Kiharusi na Degedege: Sababu, Dalili na Namna ya Kukabiliana Nayo”

September 1, 2025

“Kasaka: Chunya Tumejipanga, Kura za Rais Samia Ni Ushindi wa Kishindo”

September 1, 2025
Most Popular

LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)

July 29, 2025206

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024184

WAHITIMU WA UUGUZI NA UKUNGA WAPEWA WITO WA KUONYESHA MAADILI, UPENDO NA HESHIMA KAZINI

August 28, 2025117
© 2025 Mbeya Yetu. Powered by Digital Media Innovation Program.
  • Home

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.