Close Menu
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

Kutoka kuchunga ng’ombe hadi kushinda Sh27.4 milioni ya jackpot

August 29, 2025

WAHITIMU WA UUGUZI NA UKUNGA WAPEWA WITO WA KUONYESHA MAADILI, UPENDO NA HESHIMA KAZINI

August 28, 2025

MA-EMSII MBEYA WALIA NA UTITIRI WA TOZO NA KODI KATIKA KAZI ZAO,DC ITUNDA AAHIDI KUTAFUTIA SULUHU

August 28, 2025
Facebook X (Twitter) Instagram
Trending
  • Kutoka kuchunga ng’ombe hadi kushinda Sh27.4 milioni ya jackpot
  • WAHITIMU WA UUGUZI NA UKUNGA WAPEWA WITO WA KUONYESHA MAADILI, UPENDO NA HESHIMA KAZINI
  • MA-EMSII MBEYA WALIA NA UTITIRI WA TOZO NA KODI KATIKA KAZI ZAO,DC ITUNDA AAHIDI KUTAFUTIA SULUHU
  • Wazazi Wafichua Mbinu Walizotumia Kuwalinda Watoto Wao Dhidi ya Jicho Baya na Uovu
  • MH. MICHAEL MAKAO ALIVYOREJESHA FOMU YA UDIWANI KATA RUJEWA AAHIDI KUENDELEZA ALIPOISHIA
  • Mwanamke Afumaniwa Akipika Chakula Usiku kwa Mtu Asiyeonekana, Jirani Atoa Neno
  • HIKI NDICHO ALICHOKISEMA BAHATI NDINGO ALIPOKUWA AKIREJESHA FOMU KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA MBARALI
  • Mwanamke miaka 50 aoana na kijana wa miaka 21 baada ya penzi lao kuvutia kijiji kizima kwa mshangao
Facebook X (Twitter) Instagram
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
Home » MH. MAHUNDI: KADI MPYA ZA MASTERCARD KUIIMARISHA HUDUMA ZA KIFEDHA TANZANIA
Habari za Kitaifa

MH. MAHUNDI: KADI MPYA ZA MASTERCARD KUIIMARISHA HUDUMA ZA KIFEDHA TANZANIA

Mbeya YetuBy Mbeya YetuJune 4, 2025Updated:June 4, 2025No Comments8 Views
Facebook Twitter Pinterest LinkedIn WhatsApp Reddit Tumblr Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

Benki ya Equity Tanzania kwa kushirikiana na kampuni ya Mastercard imezindua kadi mpya mbili za malipo – Mastercard Gold Debit na Mastercard World Debit – katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam tarehe 4 Juni 2025.

Uzinduzi huo umefanyika kwa na Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhandisi Maryprisca Mahundi.

Akizungumza katika hafla hiyo, mhandisi Mahundi amesema kadi hizo ni sehemu ya mageuzi ya kidijitali na ujumuishwaji wa kifedha yanayotekelezwa na Serikali ya Awamu ya Sita.

Amesisitiza kuwa huduma hizo mpya zitawawezesha Watanzania kupata huduma za kifedha salama, za kisasa, na zenye uwazi, hivyo kuongeza ushiriki wao katika uchumi wa kidunia.

Kadi hizo zitatumika kimataifa, zikiwa na faida kama upatikanaji wa huduma kwenye zaidi ya viwanja vya ndege 1,000, bima ya usafiri, huduma za hoteli, ulinzi wa miamala na ofa kutoka kwa chapa kubwa za kimataifa. Aidha, kadi hizo zitawawezesha Watanzania, wakiwemo wafanyabiashara, wanafunzi na wasafiri wa kimataifa, kufanya miamala kwa urahisi na usalama zaidi.

Mkurugenzi Mtendaji wa Equity Tanzania, Bi. Isabela Maganga, amesema benki hiyo inaendelea kujikita katika ubunifu wa bidhaa zinazokidhi mahitaji ya kila kundi la mteja.

Ameeleza kuwa benki hiyo ina matawi zaidi ya 17 na mawakala zaidi ya 3,000 nchi nzima, hivyo kuwawezesha wananchi wa maeneo ya mijini na vijijini kunufaika na huduma bora za kifedha.

Naibu Waziri ameitaka jamii kutumia huduma za kibenki za kidijitali badala ya kutegemea pesa taslimu, akisisitiza kuwa matumizi ya teknolojia ni msingi wa kujenga uchumi jumuishi.

Amehitimisha kwa kuipongeza
Equity na Mastercard kwa mchango wao mkubwa katika kukuza maendeleo ya kiuchumi kupitia mifumo ya kisasa ya kifedha.

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Telegram Email
Mbeya Yetu

Related Posts

Mbeya Yatikisika! Dkt. Tulia Achukua Fomu Ubunge Jimbo Jipya la Uyole

August 25, 2025

TAKUKURU Mbeya Yaokoa Milioni 47 na Kuongeza Mapato ya Halmashauri Zaidi ya Milioni 200

August 19, 2025

MGOMBEA NCCR MAGEUZI AJITOKEZA KUCHUKUA FOMU ZA UTEUZI

August 15, 2025

Leave A Reply Cancel Reply

Top Posts

LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)

July 29, 2025204

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024183

Njia rahisi ya kushinda kesi Mahakamani bila kutoa rushwa

February 7, 202592

WAHITIMU WA UUGUZI NA UKUNGA WAPEWA WITO WA KUONYESHA MAADILI, UPENDO NA HESHIMA KAZINI

August 28, 202591
Don't Miss

Kutoka kuchunga ng’ombe hadi kushinda Sh27.4 milioni ya jackpot

By Mbeya YetuAugust 29, 20250

Jina langu naitwa David kutokea Shinyanga, ni kijana wa miaka 28 ambaye nina nguvu kubwa…

WAHITIMU WA UUGUZI NA UKUNGA WAPEWA WITO WA KUONYESHA MAADILI, UPENDO NA HESHIMA KAZINI

August 28, 2025

MA-EMSII MBEYA WALIA NA UTITIRI WA TOZO NA KODI KATIKA KAZI ZAO,DC ITUNDA AAHIDI KUTAFUTIA SULUHU

August 28, 2025

Wazazi Wafichua Mbinu Walizotumia Kuwalinda Watoto Wao Dhidi ya Jicho Baya na Uovu

August 28, 2025
Stay In Touch
  • Facebook
  • Twitter
  • Pinterest
  • Instagram
  • YouTube
  • Vimeo

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from SmartMag about art & design.

About Us
About Us

Mbeya Yetu is a dynamic online platform that serves as a comprehensive source for news and information, offering a diverse range of content that caters to the interests and needs of its audience. Focusing on key pillars such as Habari za Kijamii (Social News), Uchumi na Biashara (Economy and Business), Elimu na Vijana (Education and Youth), Afya na Ustawi (Health and Well-being), and Habari za Kitaifa (National News), Mbeya Yetu is committed to keeping its community informed and engaged.

Facebook X (Twitter) Pinterest YouTube WhatsApp
Our Picks

Kutoka kuchunga ng’ombe hadi kushinda Sh27.4 milioni ya jackpot

August 29, 2025

WAHITIMU WA UUGUZI NA UKUNGA WAPEWA WITO WA KUONYESHA MAADILI, UPENDO NA HESHIMA KAZINI

August 28, 2025

MA-EMSII MBEYA WALIA NA UTITIRI WA TOZO NA KODI KATIKA KAZI ZAO,DC ITUNDA AAHIDI KUTAFUTIA SULUHU

August 28, 2025
Most Popular

LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)

July 29, 2025204

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024183

Njia rahisi ya kushinda kesi Mahakamani bila kutoa rushwa

February 7, 202592
© 2025 Mbeya Yetu. Powered by Digital Media Innovation Program.
  • Home

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.