Close Menu
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

Nilikuwa naishi kwenye banda la mabati sasa majirani wanapiga picha kwenye nyumba yangu ya ghorofa

July 31, 2025

“MAHUNDI: Uongozi Wangu ni kwa Wanawake wa Mbeya – Asanteni kwa kuniamini tena

July 31, 2025

“SUMA FYANDOMO: Nitajifunza na Kushirikiana Nanyi! Aibuka na kura 1152.

July 31, 2025
Facebook X (Twitter) Instagram
Trending
  • Nilikuwa naishi kwenye banda la mabati sasa majirani wanapiga picha kwenye nyumba yangu ya ghorofa
  • “MAHUNDI: Uongozi Wangu ni kwa Wanawake wa Mbeya – Asanteni kwa kuniamini tena
  • “SUMA FYANDOMO: Nitajifunza na Kushirikiana Nanyi! Aibuka na kura 1152.
  • Nilivyoweza kurejesha heshima ndani ya ndoa yangu
  • KUMEKUCHA!! WATEULE SITA UBUNGE CCM JIMBO MBEYA MJINI WAANZA KUUZA SERA ZAO KWA WAJUMBE,KATIKA KATA
  • Niliwahi kuandikiwa wasifu wa kifo Hospitalini ila leo nawambia siri ya kupona
  • HUJUMA NYINGINE KUBWA WIZI DHIDI YA MAJI MAMLAKA YA MAJI MBEYA
  • Nilipigwa na butwaa kuona jina lake kwenye hati ya shamba la Sugar Daddy
Facebook X (Twitter) Instagram
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
Home » VYAMA VYA SIASA VYAHAKIKISHIWA UWANJA SAWA UCHAGUZI MKUU 2025
Habari za Kitaifa

VYAMA VYA SIASA VYAHAKIKISHIWA UWANJA SAWA UCHAGUZI MKUU 2025

Mbeya YetuBy Mbeya YetuJuly 27, 2025No Comments6 Views
Facebook Twitter Pinterest LinkedIn WhatsApp Reddit Tumblr Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi na Vyama vya Siasa kuhusu uchaguzi Mkuu  wa mwaka 2025. Kikao hicho cha siku moja kilifanyika leo Julai 27, 2025 jijini Dodoma na kushirikisha vyama vyote vyenye usajili kamili. 

 

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi na Vyama vya Siasa kuhusu uchaguzi Mkuu  wa mwaka 2025. Kikao hicho cha siku moja kilifanyika leo Julai 27, 2025 jijini Dodoma na kushirikisha vyama vyote vyenye usajili kamili. 

 

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Ndg. Kailima Ramadhani akiwasilisha mada wakati wa mkutano wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi na Vyama vya Siasa kuhusu uchaguzi Mkuu  wa mwaka 2025. Kikao hicho cha siku moja kilifanyika leo Julai 27, 2025 jijini Dodoma na kushirikisha vyama vyote vyenye usajili kamili. 

 

 

Na. Mwandishi Wetu

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC)
imewahakikishia viongozi wa vyama vya siasa kuwa kutakuwa na uwanja sawa kwa
vyama vyote wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu wa mwaka huu kwa kuhakikisha
kila chama kinafanya mikutano yake kwa mujibu wa ratiba.

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe.
Jaji wa Rufani, Jacobs Mwambegele ameyasema hayo leo tarehe 27 Julai, 2025
wakati akifungua mkutano wa Tume na Viongozi wa Vyama vya Siasa jijini Dodoma.

”Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, inawahakikishia
kuwepo kwa uwanja sawa kwa vyama vyote wakati wa kampeni kwa kuhakikisha kila
chama kitafanya mikutano yake kwa mujibu wa ratiba itakayokuwa imepitishwa na
kamati ya ratiba ngazi ya Taifa inayoratibu ratiba ya kampeni ya wagombea wa
Kiti cha Rais na Makamu wa Rais, kamati ya jimbo inayoratibu ratiba ya wagombea
wa ubunge na kamati ya kata inayoratibu ratiba ya wagombe wa udiwani,” amesema
Jaji Mwambegele.

Amewasisitiza viongozi hao wa vyama vya siasa kuwasihi
wagombea na wafuasi wao kufanya kampeni za kistaarabu na kuepuka kufanya
vitendo vitakavyoweza kusababisha uvunjifu wa amani na utulivu wa nchi.

”Kipindi cha kampeni kunakuwa na joto kali la
kisiasa linalotokana na baadhi ya watu kukosa uvumilivu wa kisiasa hali ambayo
inaweza kuhatarisha amani na utulivu wa nchi,” amesema.

Jaji Mwambegele amewahakikishia viongozi hao wa
vyama kuwa katika kipindi cha utoaji fomu za wagombea ambacho kinaanza tarehe
09 Agosti, 2025 hadi tarehe 27 Agosti, 2025 kwa wagombea wa kiti cha Rais na
Makamu wa Rais na tarehe 14 Agosti, 2025 hadi tarehe 27 Agosti, 2025 kwa
wagombea wa Ubunge na Udiwani, Tume itazingatia sheria.

” Tume inapenda kuwahakikishia kwamba, katika
kipindi cha utoaji wa fomu za uteuzi na siku ya uteuzi wa wagombea, tutasimamia
Katiba, Sheria na Kanuni ili kuhakikisha kila mwenye sifa ya kugombea anapata
haki ya kupewa fomu na kuteuliwa pale atakapotimiza masharti ya uteuzi,”
amesema.

 

 

 

Viongozi wa vyama mbalimbali vya siasa wakishiriki mjadala. 

 

 

 

 

 

 

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Telegram Email
Mbeya Yetu

Related Posts

WATANZANIA MILIONI 37 KUPIGA KURA TAREHE 29 OKTOBA, 2025

July 26, 2025

Daraja la Masagi Wilayani Iramba kufungua mawasiliano vijijini

July 24, 2025

Waziri Aweso Aagiza Mabomba Yote ya Mto Kiwira Yatengenezwe Mara Moja

July 24, 2025

Leave A Reply Cancel Reply

Top Posts

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024177

TULIA TRUST YATOA MIFUKO 400 YA SARUJI KWA SHULE 3 JIJINI MBEYA

March 26, 202485

UCHAGUZI MKUU 2025: MAJIMBO MAPYA NANE YAANZISHWA, 12 YABADILISHWA MAJINA

May 12, 202580

LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)

July 29, 202576
Don't Miss
Uncategorized

Nilikuwa naishi kwenye banda la mabati sasa majirani wanapiga picha kwenye nyumba yangu ya ghorofa

By Mbeya YetuJuly 31, 20250

Wakati wengine walikuwa wanazungumzia ndoto zao za kuishi kwenye majumba ya kifahari, mimi nilikuwa nalala…

“MAHUNDI: Uongozi Wangu ni kwa Wanawake wa Mbeya – Asanteni kwa kuniamini tena

July 31, 2025

“SUMA FYANDOMO: Nitajifunza na Kushirikiana Nanyi! Aibuka na kura 1152.

July 31, 2025

Nilivyoweza kurejesha heshima ndani ya ndoa yangu

July 30, 2025
Stay In Touch
  • Facebook
  • Twitter
  • Pinterest
  • Instagram
  • YouTube
  • Vimeo

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from SmartMag about art & design.

About Us
About Us

Mbeya Yetu is a dynamic online platform that serves as a comprehensive source for news and information, offering a diverse range of content that caters to the interests and needs of its audience. Focusing on key pillars such as Habari za Kijamii (Social News), Uchumi na Biashara (Economy and Business), Elimu na Vijana (Education and Youth), Afya na Ustawi (Health and Well-being), and Habari za Kitaifa (National News), Mbeya Yetu is committed to keeping its community informed and engaged.

Facebook X (Twitter) Pinterest YouTube WhatsApp
Our Picks

Nilikuwa naishi kwenye banda la mabati sasa majirani wanapiga picha kwenye nyumba yangu ya ghorofa

July 31, 2025

“MAHUNDI: Uongozi Wangu ni kwa Wanawake wa Mbeya – Asanteni kwa kuniamini tena

July 31, 2025

“SUMA FYANDOMO: Nitajifunza na Kushirikiana Nanyi! Aibuka na kura 1152.

July 31, 2025
Most Popular

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024177

TULIA TRUST YATOA MIFUKO 400 YA SARUJI KWA SHULE 3 JIJINI MBEYA

March 26, 202485

UCHAGUZI MKUU 2025: MAJIMBO MAPYA NANE YAANZISHWA, 12 YABADILISHWA MAJINA

May 12, 202580
© 2025 Mbeya Yetu. Powered by Digital Media Innovation Program.
  • Home

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.