Close Menu
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

MWALUNENGE ATOA MILIONI 3 KUWAOKOA VIJANA WA KIWIRA BAADA YA TFS KUTAIFISHA VIFAA VYAO

December 8, 2025

“MARUFUKU HUU UKAMATAJI TUMEKUBALIANA NA IGP” SIMBA CHAWENE

December 8, 2025

WIZARA YA MAMBO YA NDANI YATOA ONYO MAANDAMANO KESHO/WAZIRI ATOA USHAURI KWA WANANCHI/MSIANDAMANE

December 8, 2025
Facebook X (Twitter) Instagram
Trending
  • MWALUNENGE ATOA MILIONI 3 KUWAOKOA VIJANA WA KIWIRA BAADA YA TFS KUTAIFISHA VIFAA VYAO
  • “MARUFUKU HUU UKAMATAJI TUMEKUBALIANA NA IGP” SIMBA CHAWENE
  • WIZARA YA MAMBO YA NDANI YATOA ONYO MAANDAMANO KESHO/WAZIRI ATOA USHAURI KWA WANANCHI/MSIANDAMANE
  • TANZANIA AND U.S. MOVE TO FINALISE MAJOR INVESTMENT AGREEMENTS
  • “Hongera! Umeshinda JACKPOT ya Sh6,800,000”
  • MFANYAKAZI WA HOSPITALI YA RUFAA YA KANDA MBEYA APATA TUZO YA MWANAFUNZI BORA WA SHAHADA YA UZAMILI YA UDAKTARI WA MENO MUHAS.
  • Ujumbe wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuhusu Maadhimisho ya Sikukuu ya Uhuru.
  • Haikuwa tu safari ya kupona, bali safari ya kujikubali
Facebook X (Twitter) Instagram
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
Home » TCRA na TBN Wajipanga Kuhakikisha Habari za Uchaguzi Zinaripotiwa kwa Usahihi
Habari za Kitaifa

TCRA na TBN Wajipanga Kuhakikisha Habari za Uchaguzi Zinaripotiwa kwa Usahihi

Mbeya YetuBy Mbeya YetuAugust 10, 2025Updated:August 10, 2025No Comments11 Views
Facebook Twitter Pinterest LinkedIn WhatsApp Reddit Tumblr Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

Na Mwandishi Wetu

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imeandaa mafunzo maalumu kwa Mtandao wa Mabloga (TBN) kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. Mafunzo haya yatafanyika Jumatatu, Agosti 11, 2025, katika Makao Makuu ya TCRA.

Kwa mujibu wa taarifa kutoka TCRA mafunzo hayo yana lengo la kuwaandaa mabloga na wanahabari kwa ujumla ili waweze kuripoti habari za uchaguzi kwa weledi na uadilifu.

Mada mbalimbali zitakazowasilishwa na wataalamu kutoka taasisi tofauti. Baadhi ya mada zitakazojadiliwa ni pamoja na Mwongozo wa Waandishi wa Habari katika Uandishi wa Habari za Uchaguzi, Kanuni za Utangazaji wa Uchaguzi kwa Vyama vya Siasa za Mwaka 2020, na uhusiano kati ya Waandishi wa Habari na Jeshi la Polisi katika kulinda usalama.

Mada nyingi zitatoka Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari, itakayozungumzia maadili na sheria kwa waandishi wa habari, mada kuhusu matumizi ya mitandao ya kijamii na Akili Bandia (AI) kuelekea uchaguzi na mada kutoka Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) itakayozungumzia Ulinzi wa Taarifa Binafsi kuelekea uchaguzi.

Mafunzo haya yana faida kubwa kwa mabloga na jamii kwa ujumla kwani yatawawezesha wanahabari kutoa taarifa sahihi na zenye uwajibikaji, jambo ambalo ni muhimu katika kujenga mazingira ya uchaguzi yenye amani na utulivu.

Pia, yanatoa elimu kuhusu matumizi sahihi ya mitandao ya kijamii na Akili Bandia ili kuepuka taarifa za uongo.

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Telegram Email
Mbeya Yetu

Related Posts

TANZANIA AND U.S. MOVE TO FINALISE MAJOR INVESTMENT AGREEMENTS

December 8, 2025

MHE. SALOME MAKAMBA AIPONGEZA PBPA KWA UTENDAJI KAZI MZURI

December 6, 2025

MH. MAHUNDI: Serikali Yaendelea Kuimarisha Mazingira Wezeshi kwa Biashara za Wanawake Dodoma

November 28, 2025

Leave A Reply Cancel Reply

Top Posts

Njia rahisi ya kushinda kesi Mahakamani bila kutoa rushwa

February 7, 2025246

LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)

July 29, 2025234

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024207

WAHITIMU WA UUGUZI NA UKUNGA WAPEWA WITO WA KUONYESHA MAADILI, UPENDO NA HESHIMA KAZINI

August 28, 2025128
Don't Miss
Video Mpya

MWALUNENGE ATOA MILIONI 3 KUWAOKOA VIJANA WA KIWIRA BAADA YA TFS KUTAIFISHA VIFAA VYAO

By Mbeya YetuDecember 8, 20251

“MARUFUKU HUU UKAMATAJI TUMEKUBALIANA NA IGP” SIMBA CHAWENE

December 8, 2025

WIZARA YA MAMBO YA NDANI YATOA ONYO MAANDAMANO KESHO/WAZIRI ATOA USHAURI KWA WANANCHI/MSIANDAMANE

December 8, 2025

TANZANIA AND U.S. MOVE TO FINALISE MAJOR INVESTMENT AGREEMENTS

December 8, 2025
Stay In Touch
  • Facebook
  • Twitter
  • Pinterest
  • Instagram
  • YouTube
  • Vimeo

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from SmartMag about art & design.

About Us
About Us

Mbeya Yetu is a dynamic online platform that serves as a comprehensive source for news and information, offering a diverse range of content that caters to the interests and needs of its audience. Focusing on key pillars such as Habari za Kijamii (Social News), Uchumi na Biashara (Economy and Business), Elimu na Vijana (Education and Youth), Afya na Ustawi (Health and Well-being), and Habari za Kitaifa (National News), Mbeya Yetu is committed to keeping its community informed and engaged.

Facebook X (Twitter) Pinterest YouTube WhatsApp
Our Picks

MWALUNENGE ATOA MILIONI 3 KUWAOKOA VIJANA WA KIWIRA BAADA YA TFS KUTAIFISHA VIFAA VYAO

December 8, 2025

“MARUFUKU HUU UKAMATAJI TUMEKUBALIANA NA IGP” SIMBA CHAWENE

December 8, 2025

WIZARA YA MAMBO YA NDANI YATOA ONYO MAANDAMANO KESHO/WAZIRI ATOA USHAURI KWA WANANCHI/MSIANDAMANE

December 8, 2025
Most Popular

Njia rahisi ya kushinda kesi Mahakamani bila kutoa rushwa

February 7, 2025246

LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)

July 29, 2025234

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024207
© 2025 Mbeya Yetu. Powered by Digital Media Innovation Program.
  • Home

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.