Close Menu
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

Kampeni za Mguu kwa Mguu za Ipyana Njiku wa CHAUMMA Yazidi Kutikisa Jimbo la Uyole

October 12, 2025

Mradi wa Kuboresha Huduma ya Maji Tukuyu Wazinduliwa na Mwenge wa Uhuru 2025

October 12, 2025

Bibi Yangu Alisaidia Kuokoa Ndoa Yangu Baada ya Miaka Mitano y

October 12, 2025
Facebook X (Twitter) Instagram
Trending
  • Kampeni za Mguu kwa Mguu za Ipyana Njiku wa CHAUMMA Yazidi Kutikisa Jimbo la Uyole
  • Mradi wa Kuboresha Huduma ya Maji Tukuyu Wazinduliwa na Mwenge wa Uhuru 2025
  • Bibi Yangu Alisaidia Kuokoa Ndoa Yangu Baada ya Miaka Mitano y
  • Nilikata Tamaa Baada ya Kupoteza Kila Bet, Lakini Siri Niliyotumia Ilinifanya Kushinda Jackpot
  • Nilidhani Sina Bahati Maishani, Lakini Hatua Moja Rahisi Ilinifanya Nianze Kuvutia Mafanikio Kila Siku
  • Mwenge wa Uhuru Waonyesha Uwazi na Uwajibikaji Katika Mradi wa Maji Ipinda – Kyela
  • Mwalunenge Aahidi Kuendeleza Miradi ya Mama Samia Kata ya Nsoho, Asema “Kura Zetu ni CCM”
  • Nilipoteza Biashara Yangu ya Bidhaa za Nyumbani, Lakini Dawa Asilia Ilinirudishia Bahati Yangu ya Kifedha
Facebook X (Twitter) Instagram
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
Home » Kampeni za Mguu kwa Mguu za Ipyana Njiku wa CHAUMMA Yazidi Kutikisa Jimbo la Uyole
Habari za Kitaifa

Kampeni za Mguu kwa Mguu za Ipyana Njiku wa CHAUMMA Yazidi Kutikisa Jimbo la Uyole

Mbeya YetuBy Mbeya YetuOctober 12, 2025Updated:October 12, 2025No Comments9 Views
Facebook Twitter Pinterest LinkedIn WhatsApp Reddit Tumblr Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

Mgombea ubunge wa Jimbo la Uyole kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Ipyana Samson Njiku, ameendelea na kampeni zake za mguu kwa mguu kwa  wananchi wa Jimbo la Uyole, ambapo leo ametembelea maeneo ya Kata ya Itezi na Igawilo akiwahamasisha wananchi kujiandaa kwa mabadiliko chanya kupitia uongozi makini na wenye dira ya maendeleo.

Akizungumza na wananchi katika maeneo mbalimbali , Njiku amesema kuwa endapo atapata ridhaa ya wananchi wa Uyole, ataweka kipaumbele katika utekelezaji wa miradi mikubwa ya kimkakati ikiwemo:

Ujenzi wa Soko la Kisasa na Kimataifa litakalowezesha wakulima na wafanyabiashara kuuza mazao yao ndani na nje ya nchi kwa urahisi, kuongeza ajira na kipato cha wananchi.

Mradi wa maji kutoka Ziwa Nyasa hadi Jimbo la Uyole, ambao utatatua kwa kiwango kikubwa changamoto ya upatikanaji wa maji safi na salama katika kata mbalimbali za jimbo hilo.

Kuisukuma Serikali kuharakisha ujenzi wa Bandari Kavu ya Inyala, ambayo itakuwa kichocheo kikubwa cha ukuaji wa uchumi katika mkoa wa Mbeya na Nyanda za Juu Kusini kwa ujumla.

Njiku amesisitiza kuwa kampeni zake zinajikita katika kuwasikiliza wananchi, kuelewa changamoto zao, na kuweka mikakati ya pamoja ya kuzitatua. Amesema chama cha CHAUMMA kinalenga siasa za maendeleo na uwajibikaji, si za maneno bali matendo.

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Telegram Email
Mbeya Yetu

Related Posts

Shirika la Posta Laadhimisha Wiki ya Posta Duniani kwa Kutoa Msaada Hospitali ya Igawilo

October 9, 2025

KIKWETE AIPONGEZA BENKI YA NMB

October 8, 2025

MGOMBEA UBUNGE MHE. BAHATI KENETH NDINGO AENDELEA NA ZIARA KATA YA RUJEWA, MBARALI

October 7, 2025

Leave A Reply Cancel Reply

Top Posts

LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)

July 29, 2025219

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024192

Njia rahisi ya kushinda kesi Mahakamani bila kutoa rushwa

February 7, 2025165

WAHITIMU WA UUGUZI NA UKUNGA WAPEWA WITO WA KUONYESHA MAADILI, UPENDO NA HESHIMA KAZINI

August 28, 2025125
Don't Miss
Habari za Kitaifa

Kampeni za Mguu kwa Mguu za Ipyana Njiku wa CHAUMMA Yazidi Kutikisa Jimbo la Uyole

By Mbeya YetuOctober 12, 20259

Mgombea ubunge wa Jimbo la Uyole kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Ipyana Samson…

Mradi wa Kuboresha Huduma ya Maji Tukuyu Wazinduliwa na Mwenge wa Uhuru 2025

October 12, 2025

Bibi Yangu Alisaidia Kuokoa Ndoa Yangu Baada ya Miaka Mitano y

October 12, 2025

Nilikata Tamaa Baada ya Kupoteza Kila Bet, Lakini Siri Niliyotumia Ilinifanya Kushinda Jackpot

October 12, 2025
Stay In Touch
  • Facebook
  • Twitter
  • Pinterest
  • Instagram
  • YouTube
  • Vimeo

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from SmartMag about art & design.

About Us
About Us

Mbeya Yetu is a dynamic online platform that serves as a comprehensive source for news and information, offering a diverse range of content that caters to the interests and needs of its audience. Focusing on key pillars such as Habari za Kijamii (Social News), Uchumi na Biashara (Economy and Business), Elimu na Vijana (Education and Youth), Afya na Ustawi (Health and Well-being), and Habari za Kitaifa (National News), Mbeya Yetu is committed to keeping its community informed and engaged.

Facebook X (Twitter) Pinterest YouTube WhatsApp
Our Picks

Kampeni za Mguu kwa Mguu za Ipyana Njiku wa CHAUMMA Yazidi Kutikisa Jimbo la Uyole

October 12, 2025

Mradi wa Kuboresha Huduma ya Maji Tukuyu Wazinduliwa na Mwenge wa Uhuru 2025

October 12, 2025

Bibi Yangu Alisaidia Kuokoa Ndoa Yangu Baada ya Miaka Mitano y

October 12, 2025
Most Popular

LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)

July 29, 2025219

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024192

Njia rahisi ya kushinda kesi Mahakamani bila kutoa rushwa

February 7, 2025165
© 2025 Mbeya Yetu. Powered by Digital Media Innovation Program.
  • Home

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.