Kwa muda mrefu sana maisha yangu hayakuwa na mwanga. Nilijaribu kusonga mbele kama watu wengine, lakini kila nilichogusa kilionekana kukwama. Kazi haikudumu, biashara zilifeli kabla hata hazijaanza, na ndoto zangu zilionekana ni hadithi za kujifariji.
Watu waliokuwa karibu nami walikuwa wakinionea huruma, wengine wakinicheka kimyakimya. Hakuna aliyefikiri kuwa siku moja hali hiyo ingebadilika. Mambo yalipoanza kubadilika ghafla, hakuna aliyeamini kilichokuwa kikitokea.
Nilipata fursa nzuri ya kazi, mapato yakaanza kuongezeka, na maisha yakabadilika kwa kasi. Ndani ya muda mfupi, nikaweza kufanya mambo ambayo sikuwahi kuyafikiria. Watu walianza kusema, “Ni bahati tu,” wengine wakidai labda nilikuwa nimepata tu siku nzuri. Soma zaidi hapa

