Close Menu
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

Mbunge CCM,wapinzani waimarisha umoja,wajadili maendeleo ya wana Mbeya

March 5, 2026

Dkt. Tulia Aunga Mkono Ujenzi wa Barabara Bombambili kwa Mifuko 100 ya Saruji na tripu 10 za mawe

March 5, 2026

SIMBA WA VITA MZEE RASHIDI MFAUME KAWAWA AMBAYE ANGEKUWA HAI JANA ANGETIMIZA UMRI WA MIAKA 100

February 28, 2026
Facebook X (Twitter) Instagram
Trending
  • Mbunge CCM,wapinzani waimarisha umoja,wajadili maendeleo ya wana Mbeya
  • Dkt. Tulia Aunga Mkono Ujenzi wa Barabara Bombambili kwa Mifuko 100 ya Saruji na tripu 10 za mawe
  • SIMBA WA VITA MZEE RASHIDI MFAUME KAWAWA AMBAYE ANGEKUWA HAI JANA ANGETIMIZA UMRI WA MIAKA 100
  • Mwalupindi Akabidhi Tuzo Vitabu na kufuturisha wanafunzi Kuimarisha Elimu Sangu Sekondari
  • VIONGOZI WA KIDINI,MAKUNDI YA KIJAMII WAPEWA SEMINA SAPOTI YA KISAIKOLOJIA KWA JAMII
  • TAKUKURU MBEYA YAOKOA ZAIDI YA MILIONI 100, YAIMARISHA MAPAMBANO DHIDI YA RUSHWA
  • Mfumo wa kidigitali wa Vyeti vya Uasili kupitia Chemba ya Taifa ya Biashara Tanzania (TNCC) waanza rasmi Machi 2, 2026
  • MAHUNDI: SERIKALI KUIMARISHA ELIMU YA MALEZI KUPITIA KAMPASI YA KISANGARA
Facebook X (Twitter) Instagram
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
Home » Mbunge CCM,wapinzani waimarisha umoja,wajadili maendeleo ya wana Mbeya
Habari za Kitaifa

Mbunge CCM,wapinzani waimarisha umoja,wajadili maendeleo ya wana Mbeya

Mbeya YetuBy Mbeya YetuMarch 5, 2026No Comments16 Views
Facebook Twitter Pinterest LinkedIn WhatsApp Reddit Tumblr Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

MBUNGE wa Jimbo la Mbeya Mjini (CCM), Mhe. Patrick Mwalunenge amekutana na viongozi wa vyama vya upinzani kwa ajili ya kujadili masuala ya kisiasa mkoani Mbeya na maendeleo ya wananchi wa mkoa huo.

Katika kikao hicho kimefanyika leo Machi 5,2026 katika ukumbi wa Mkulu ambapo viongozi hao walibadilishana mawazo kuhusu hali ya kisiasa mkoani Mbeya, pamoja na namna bora ya kuimarisha ushirikiano miongoni mwa vyama vya upinzani.

Lengo kuu ni kusukuma mbele ajenda za maendeleo na ustawi wa wananchi.

Akizungumza katika kikao hicho, Mbunge Mwalunenge amesisitiza umuhimu wa viongozi wa vyama vya siasa kuweka mbele maslahi ya wananchi badala ya tofauti za kisiasa.

Amesisitiza kuwa na ushirikiano na mazungumzo ya mara kwa mara ni njia muhimu ya kujenga umoja na kuleta mabadiliko chanya katika jamii,pamoja na kuona umuhumu wao katika katika kulibadilisha Jiji la Mbeya.

Kwa mujibu wa Mwalunenge kuanzia leo anawatambua kama viongozi wa vyama vyenye mawazo mbadala kwa ajili ya ustawi wa Jiji la Mbeya na Taifa kwa ujumla.

Aidha,kikao hicho pia kililenga kuona namna ya kumsaidia Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mkoa wa Mbeya, Hamadi Mbeyale anayembuliwa na maradji ambapo kwa sasa anatibiwa katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mbeya.

Kutokana na kikao hicho, Mbunge Mwalunenge amesema anabeba gharama zote za matibabu za kiongozo huyo wa CHADEMA, ambazo ni Sh.milioni mbili.

Aidha, Mh.Mwalunenge alipendekeza kuundwa kwa chama cha ushirikiano katika shidana raha kwa viongozi hao na kuitwa “CHAMA CHA VIONGOZI WA VYAMA VYENYE MAWAZO MBADALA” ambapo ameahidi kuwachangoa shilingi milioni 20.

Kwa upande wao, baadhi ya viongozi wa vyama vya upinzani waliohudhuria mkutano huo walieleza kuwa mazungumzo kama hayo ni muhimu katika kujenga mshikamano na kuboresha mikakati ya kisiasa, hasa katika kipindi hiki ambacho vyama vinajiandaa na shughuli mbalimbali za kisiasa na kijamii.

Mkutano huo pia ulijadili changamoto zinazowakabili wananchi wa Mkoa wa Mbeya na kusisitiza haja ya viongozi kushirikiana kutafuta suluhisho la kudumu kwa masuala ya maendeleo, ikiwemo miundombinu, huduma za kijamii na fursa za kiuchumi.

Kikao hicho kimeelezwa kuwa ni sehemu ya jitihada za kuimarisha mawasiliano na ushirikiano kati ya viongozi wa vyama vya siasa kwa lengo la kuhakikisha maslahi ya wananchi yanapewa kipaumbele.

Na Mwandishi Wetu,MBEYA

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Telegram Email
Mbeya Yetu

Related Posts

SIMBA WA VITA MZEE RASHIDI MFAUME KAWAWA AMBAYE ANGEKUWA HAI JANA ANGETIMIZA UMRI WA MIAKA 100

February 28, 2026

TAKUKURU MBEYA YAOKOA ZAIDI YA MILIONI 100, YAIMARISHA MAPAMBANO DHIDI YA RUSHWA

February 27, 2026

MAHUNDI: SERIKALI KUIMARISHA ELIMU YA MALEZI KUPITIA KAMPASI YA KISANGARA

February 26, 2026

Leave A Reply Cancel Reply

Top Posts

Njia rahisi ya kushinda kesi Mahakamani bila kutoa rushwa

February 7, 2025361

LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)

July 29, 2025253

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024236

Vijana Wamchana Waziri wa Vijana, ”Si Wananchi, Ila Watumishi Ndio Watakaoniangusha”

December 1, 2025140
Don't Miss
Habari za Kitaifa

Mbunge CCM,wapinzani waimarisha umoja,wajadili maendeleo ya wana Mbeya

By Mbeya YetuMarch 5, 202616

MBUNGE wa Jimbo la Mbeya Mjini (CCM), Mhe. Patrick Mwalunenge amekutana na viongozi wa vyama…

Dkt. Tulia Aunga Mkono Ujenzi wa Barabara Bombambili kwa Mifuko 100 ya Saruji na tripu 10 za mawe

March 5, 2026

SIMBA WA VITA MZEE RASHIDI MFAUME KAWAWA AMBAYE ANGEKUWA HAI JANA ANGETIMIZA UMRI WA MIAKA 100

February 28, 2026

Mwalupindi Akabidhi Tuzo Vitabu na kufuturisha wanafunzi Kuimarisha Elimu Sangu Sekondari

February 28, 2026
Stay In Touch
  • Facebook
  • Twitter
  • Pinterest
  • Instagram
  • YouTube
  • Vimeo

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from SmartMag about art & design.

About Us
About Us

Mbeya Yetu is a dynamic online platform that serves as a comprehensive source for news and information, offering a diverse range of content that caters to the interests and needs of its audience. Focusing on key pillars such as Habari za Kijamii (Social News), Uchumi na Biashara (Economy and Business), Elimu na Vijana (Education and Youth), Afya na Ustawi (Health and Well-being), and Habari za Kitaifa (National News), Mbeya Yetu is committed to keeping its community informed and engaged.

Facebook X (Twitter) Pinterest YouTube WhatsApp
Our Picks

Mbunge CCM,wapinzani waimarisha umoja,wajadili maendeleo ya wana Mbeya

March 5, 2026

Dkt. Tulia Aunga Mkono Ujenzi wa Barabara Bombambili kwa Mifuko 100 ya Saruji na tripu 10 za mawe

March 5, 2026

SIMBA WA VITA MZEE RASHIDI MFAUME KAWAWA AMBAYE ANGEKUWA HAI JANA ANGETIMIZA UMRI WA MIAKA 100

February 28, 2026
Most Popular

Njia rahisi ya kushinda kesi Mahakamani bila kutoa rushwa

February 7, 2025361

LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)

July 29, 2025253

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024236
© 2026 Mbeya Yetu. Powered by Digital Media Innovation Program.
  • Home

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.