Author: Mbeya Yetu

Watu nane wamefariki dunia papo hapo baada ya magari mawili, gari moja la abiria na Noah kugongana uso kwa uso katika eneo la Igodima Jijini Mbeya.Ajali hiyo imetokea majira ya saa tano asubuhi ambapo abiria wote waliofariki walikuwa katika gari aina ya Noah ambayo ilikuwa imebeba watu waliokuwa wakielekea msibani Jijini Mbeya.

Read More

Tulia Trust inawatangazia wadau wote wa ndani na nje ya nchi kushiriki katika mbio( Marathon) zilizopangwa kufanyika Mei 6 Jijini Mbeya.

Lengo la Marathon hii ni kuchangia Miundo Mbinu ya Afya na Eiimu hivyo ushiriki wako katika Marathon hii utasaidia kuchangia miundo mbinu hiyo.

#mbeyatuliamarathon

Read More