Author: Mbeya Yetu

#MbeyaYetuTv #NFRA #OfisiyaWaziriMkuu
Sept 2,2021: WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema serikali imeshatoa Sh Bil 15 kwa wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) kununua mahindi kutoka kwa wakulima.
Amesema uzalishaji wa mahindi nchini umekuwa mkubwa hivyo NFRA imepewa fedha ili kununua mahindi kumwezesha mlulima aweze kujikimu hadi msimu ujao.
Waziri Mkuu Majaliwa ameyasema hayo wakati akijibu maswali ya Papo kwa Papo bungeni leo akijibu swali Mbunge wa Kwela Mhe. Deus Clement Sangu.

Read More

#MbeyaYetuTv
Sept 2,2021:WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa serikali haiwezi kuunganisha taasisi za NIDA na RITA kutokana na tofauti za majukumu yake.Alikuwa akijibu swali la Mhe. Abubakari Asenga Mbunge wa Kilombero ambaye alishauri kuunganishwa kwa taasisi hizo ili kurahisisha upatikanaji wa vitambulisho vya Taifa.
Akifafanua Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa RITA ina majukumu ya kutoa cheti cha kuzaliwa kwa mtu yoyote

Read More