Author: Mbeya Yetu

Jina langu ni Alex, siwezi kusahau jinsi ambayo tulizunguka huko na kule na Babu yetu katika Hospitali mbali mbali kutafuta msaada wa kitiba kwa Babu ambaye alikuwa anaugua ugonjwa wa Presha au Msukumo wa Dawa (BP). Wazazi wetu tayari walikuwa wametangulia mbele za haki, hivyo sisi wajukuu zake ndio hasa tulikuwa na jukumu zima la kumtunza kwa hali na mali kwani hakuna mwingine ambaye angeweza kufanya hivyo zaidi yetu katika familia ile. Kaka yangu mkubwa ndio aliyekuja na suluhisho la ugonjwa wa Babu baada ya kuzunguka sana, suluhisho lenyewe ni pale alipopata namba za Dr Bokko +255618536050, mtaalamu wa tiba…

Read More

#Mkandarasi barabara ya Ilula Image-Ilambo atakiwa kurejea kazini mara moja Iringa Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), Mhandisi Victor Seff, amesema serikali inaridhishwa na kazi zinayofanywa na wakandarasi wanaojenga barabara za Mtili – Ifwagi (Km. 14) na Wenda – Mgama (Km. 19) ambazo zinagharimu bilioni 52. Barabara hizo zinajengwa chini ya mradi wa RISE, unaofadhiliwa kupitia mkopo nafuu kutoka Benki ya Dunia, ukiwa na lengo la kurahisisha usafirishaji wa mazao ya misitu, mboga mboga, chai, na mazao mengine kutoka mashambani hadi sokoni kwa wakati. Akizungumza baada ya kuongoza kamati zinazohusika na usimamizi wa mradi huo…

Read More

Licha ya matangazo mengi katika vyombo vya habari kuwa Kifua Kikuu (TB) ni ugonjwa unaotibika kwa urahisi na watu wasione aibu kwenda Hospitalini, kwani hali hiyo kwangu ilikuwa ni tofauti kabisa. Nadhubutu kusema hivyo kutokana baada ya kupata maradhi ya TB nilitumia dawa kwa kipindi kirefu bila mafanikio yoyote, zaidi nilipata nafuhu lakini baada ya muda hali ilirejea kuwa mbaya zaidi. Kwa majina ni Dulla, nilikuwa nafanya kazi katika mgodi wa dhahabu kwa miaka zaidi ya 10, mazingira ya mgodi na matumizi ya vifaa  duni vya kufanyia kazi ni moja ya sababu za kuugua ugonjwa wa TB kwani hata marafiki…

Read More