Subscribe to Updates
Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.
- VIBE: CUoM: Maandamano ya Wanachuo 2,819 Yatingisha Jiji la Mbeya
- Mahundi Awataka Wahitimu Kutumia Elimu kwa Maendeleo ya Jamii
- KOCHA MEXIME AAHIDI KUREJESHA FURAHA KWA MASHABIKI MBEYA CITY FC, KUSHUSHA ”VIFAA” DIRISHA DOGO
- *DKT. MWIGULU AMBANA MKANDARASI UJENZI WA BARABARA YA KITAI-RUANDA*
- MBEYA UWSA YAONGEZA UFANISI, NAIBU WAZIRI WA MAJI AZINDUA MAGARI YA KISASA
- Kila mwanamke mzuri alimuacha kabla ya kupata msaada huu
- Naibu Waziri wa Maji Mathew: Aweka Mkazo Kwenye Miradi ya Maji Mbeya na Chunya
- Hafla ya Makabidhiano ya Vitabu vya Fidia vya Mradi wa Chanzo cha Mto Kiwira
Author: Mbeya Yetu
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Cde: Juma Z. Homera ameitia kizuizini kampuni ya Mbembati inayojihuosisha na ununuzi wa zao la Parachichi wilayani Rungwe kwa kushindwa kuwalipa Wakulima waliomuuzia Matunda ya zao hilo na ameitaka kampuni hiyo kuzilipa Fedha zote ndani ya masaa 48, Laa sivyo itaendelea Kuwekwa kizuizini chini ya Jeshi la Polisi.
Ni Baada ya RC Homera kuendesha Kikao Maalumu kilichowakutanisha Wakulima wa zao la Parachichi, wanunuzi na Wadau wa zao hilo Kutoka Halmashauri ya Rungwe na Busokelo na kukutana na malalamiko makubwa Kutoka kwa Wakulima juu ya kutolipwa Fedha zao Kutoka kwa wanunuzi wa zao la Parachichi.
Aidha amelaani Vikali vitendo hivyo na kuvitaja kama vitendo vya kikatili hasa kwa makampuni ya ununuzi kudhulumu kipato Cha Wakulima wanaotoa Jasho lao kuzipambania familia zao huku wao(wanunuzi) wakiishi Maisha Mazuri.
Makampuni mengine yanayodaiwa na Wakulima ni Pamoja na Monac, Kampuni ya Josia Kakenje,Avo Africa, Kampuni ya Kuza.
Kufuatia hilo RC Homera ameiagiza Taasisi ya Kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kwa Kushirikiana na Jeshi la Polisi kuwasaka na kuwakamata wanunuzi wote wanaotuhumiwa na Wakulima ili walete Maelezo haraka ya lini watazilipa Fedha hizo.
Hadi sasa Hospitalini hakuna dawa ambayo imefanikiwa kuondoa moja kwa moja ugonjwa kisukari zaidi wagonjwa kupewa dawa za kushusha sukari pamoja na kusitiziwa kufuata kanuni fulani fulani za lishe. Jina langu ni Jescari Omollo, nafanya shughuli zangu pande za Kakamega nchini Kenya, binfasi nilisumbuliwa sana na ugonjwa kisukari hadi kufikia hatua ya kukatwa kidole changu cha mkono. Hiyo haikutosha bado niliendelea kusumbuliwa hapa na pale na ugonjwa huko hadi siku ambayo nilikutana na mtu anayekwenda kwa jina la Dr Bokko ambaye nilipata kumfahamu kupitia tangazo fupi kwenye gazeti. Wakati huo nikiwa sina cha kufanya kuhusu ugonjwa huo baada ya kutumia…
Wanasema huwezi kuwa tajiri kwa kazi ya kuajiriwa kamwe, hiyo ni kutokana matajiri wote duniani ni wafanyabiashara na wajasiriamali wakubwa ambao wamekuwa wakiuza bidhaa na kutoa huduma. Jina langu ni Lilian toka Nairobi, Kenya, tangu nikiwa mdogo nilikuwa napenda sana biashara, nakumbuka nikiwa kijijini kwetu huko Meru, mara kadhaa nilikuwa naenda sokoni kuuza vitu wakati ningali mdogo. Niliamua kufanya hivyo kutokana na hali ya umaskini iliyokuwa imeikumba familia yatu kwa kiasi kikubwa. Nilijiapiza siku ambayo nakuja kuwa mtu mzima lazima nifanye biashara kubwa. Baada ya kuwa mkubwa nilihamia Nairobi kwa shangazi yangu, nilianza kufanya kazi katika Mgahawa mmoja ambapo nilitunza…
Kila mmoja anapenda kuona maisha yake yanapiga hatua kila siku, hakuna mtu ambaye hapendi kuona maendeleo yake binafsi ingawa vikwazo ni vingi hasa upande wa utafuta riziki. Jina langu ni Wangechi toka Nairobi nchini Kenya, nimeajiriwa kwenye kampuni kubwa ya usambazaji vinywaji baridi, nimefanya kazi hii kwa miaka zaidi ya 12 sasa. Miaka mitatu iliyopita nilifanikiwa kupandishwa cheo na kuongezewa mshahara baada ya kufanya kwa miaka tisa bila kupata fursa hiyo ambayo kila mfanyakazi huwa anaitamani. Sababu ya kuikosa kwa muda mrefu sio kwamba sikuwa na vigezo au ofisi yangu haikuwa na uwezo, laah hasha!, bali ni fitna za kikazi…
Nimekuja kubaini katika maisha unaweza kufanya kazi kwa bidii sana na kujituma lakini ikawa ni vigumu kwa wewe kufanikiwa kwa sababu unakuwa anapambana katika eneo ambalo sipo riziki yako ilipo. Jina langu ni Ramadhani mkazi wa Mombasa, Kenya, tangu nikiwa kijana mdogo niliamua kujishughulisha na uvivu maana nilipenda sana safari za majini, kazi hiyo niliifanya kwa miaka mingi hadi kila mtu mtaani kwetu alikuwa akinitambu kama mvuvi mashahuri sana. Changamoto yangu ilinza pale ambapo nilikuwa nafanya kazi sana na kutambulika na kila mtu na kusifiwa sana lakini hakuna maendeleo yoyote niliyoyapata kwenye maisha yangu kutokana na kazi yangu. Nilianza kupata…
