Subscribe to Updates
Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.
- Walimdharau Kwa Miaka Kwa Sababu ya Umaskini Leo Anasaini Contracts za Serikali Zenye Thamani ya Mabilioni
- This time I give steve a link (no mid-stream ads)
- What is Charlie Kirk’s Security Man Brian Harpole Twisting and Squeezing at the Big Bang? – #33
- Aliachwa na Mpenzi Wake Siku Moja Kabla ya Harusi Miezi Michache Baadaye Dunia Ilimshangaa
- BREAKING! MIT SCIENTIST SUSPECT MANHUNT , KASH INTERVIEW, TRUMP ADDRESS, NEWSOM & REAGAN, BLACK TV
- View the subsequent content through the homepage link#usa #shortsvideo #newyork
- MAKALA: SHUHUDIA KILELE CHA MAHAFALI YA 13 TAASISI YA UHASIBU TANZANIA (TIA) KAMPASI YA MBEYA
- DKT. TULIA ATOA POLE, AIPONGEZA SERIKALI KWA KUSIMAMIA CHANGAMOTO MBEYA
Author: Mbeya Yetu
Nikiri kuwa katika maisha yangu sikuwa mwaminifu katika suala zima la mahusiano ya kimapenzi, nilikuwa na wapenzi zaidi ya watatu kwa wakati mmoja, hiyo yote ni kutokana na tamaa zangu za kimwili ambazo naweza kusema hapo baadaye zimekuwa kunigharimu sana. Jina langu ni Moni, mara baada ya kupata kazi na kuanza kuisha maisha ya kijitegemea, niliishi kwa kujiachia sana maana kwa wazazi wangu nilikuwa nabanwa sana. Baba alikuwa akitaka kila mtu katika familia kurejea nyumbani kabla ya saa moja usiku na ni marufuku kulala nje. Utaratibu huo ulikuwa unanikera sana maana rafiki zangu walikuwa wanatoka usiku na kwenda sehemu mbalimbali…
Mjumbe wa Kamati kuu ya Halmashauri kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Mbeya Mjini, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amewataka Viongozi na Wanachama wa Chama hicho kuyatangaza mambo mazuri yanayofanywa na Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika maeneo mbalimbali nchini hususani Jimbo la Mbeya mjini ikiwemo ujenzi wa miundombinu ya elimu, afya, barabara n.k Dkt. Tulia ameyasema hayo leo tarehe 23 Disemba, 2024 wakati akizungumza na Wanachama hao katika Mkutano Mkuu wa Halmashauri kuu ya Chama cha Mapinduzi…
Hakuna sehemu ambayo ina husda kama kwenye biashara maana watu wengi huwa wapendi kuona wenzao wanafanikiwa kimaisha, watu hufanya kila nyama kuhakikisha wanawashusha wenzao kibiashara. Baada ya kufanya tathimini na kujiridhisha kuwa sehemu nilipopanga naweza kufanya biashara, niliongea na mwenye nyumba na alinikubalia kufungua. Iliniambia itabidi nilipie kodi pia, sikuwa na tatizo na hilo, nililipa na kuanza biashara, baada ya kufungua na kuona biashara inaanza kusimama, mtoto wa mwenye nyumba akaanza visa. Aliniambia pale nilipojenge kibanda changu cha kazi siku yoyote ataniambia nibomoe wajenge nyumba, nikamwambia sawa haina shida nitafanya hivyo siku ikiwadia, Miezi ilipita na biashara ikasimama, ikabidi niongeze…
Naitwa Jeska, katika ujana nilijikuta nipo njia panda ambayo hadi leo naweza sema imeniweka kwenye mazingira magumu ila imenipa funzo kuwa tiba za asili ni muhimu kwa sisi wa Afrika. Miaka kama minne iliyopita nilikutana na kijana mmoja anayetokea familia ya kutajiri, tulipendana sana na tulifanya kila kitu, baada ya muda nilibeba ujauzito wake. Kwa bahati mbaya, kumbe mwenzangu alikuwa na matatizo tangu kuzaliwa bila mimi kujua na hakuwahi kuniambia, sina hakika ni matatizo gani, ila alikuwa hawezi kujaza mtu mimba. Hivyo nilipomwambia nina ujauzito wake, alikataa kabisa mimba, mimi nilidhani labda uoga tu ila aliendelea kunisisitiza nimtafute mwenye mimba…
Naitwa Msechu, naishi Kigoma Tanzania ninajishughulisha na kazi ya ujenzi nikiwa fundi rangi, changamoto kubwa ya kazi yangu ni vumbi, nimekuwa nasumbuliwa na kifua mara kwa mara. Miaka miwili iliyopita niliugua kifua kikuu, nilipekwa hospitali kwa ajili ya uchunguzi zaidi na ndipo nilibainika nilikuwa nasumbuliwa na ugonjwa wa kifua kikuu, sikushangaa kutokana na aina ya kazi yangu. Basi nilianza kutumia dawa nikiwa na matumaini ya kupona haraka, hata hivyo nilikuja kuelezwa kuwa dawa hizo nitazitumia kwa muda mrefu, nilifanya hivyo lakini hali yangu ya kiafya ilikuwa mbaya sana. Lakini hata nilipomaliza dozi kamili bado niliendelea kusumbuliwa na ugonjwa ule, baadhi …
Naita Nandera, mkazi wa Mwanza, ninaishi na Shangazi yangu, kuna kipindi ilipotea hela ya vikoba kama Sh3.8 milioni nyumbani, Shangazi yangu ndio alikuwa muweka hazina. Kesi ilifika hadi polisi, baada ya uchunguzi ilikuja kujulikana kuna watu walikuja na waliingia ndani wakachukua hela. Hata hivyo, bahati nzuri kuna majirani walishuhudia lakini walikuwa hawajui kinachoendelea, Shangazi ilibidi akope Bank alipe ile hela. Baada ya muda nilienda chuo, nilivyorudi ikatokea kesi nyingine, ndani kulikuwa na Sh3 milioni, na sehemu ambayo ilikuwa inakaa hiyo hela nilikuwa najua mimi na Shangazi tu. Hiyo siku kulikuwa na msiba kwa jirani, baada ya kurudi alikuwa anataka kuchukua…
Naitwa Chidi, kijana wa miaka 27, nakumbuka nilikuwa nina changamoto ya kuota ndoto zikawa zinanisumbua sana, nakumbuka zilikuwepo nne za aina tofauti tofauti. Mosi, niikuwa baota nafanya mapenzi na jitu nisiloifahamu, hapa linaweza nibadilisha niwe mwanaume lenyewe linakuwa la kike au linakuwa la kiume linaniingilia. Pili, naota nakimbizwa na n’gombe mkubwa mweusi mwenye pembe kali sana, huwa nakimbia sana na linaponikosa ghafla hubadilika na kuwa binadamu na kuanza kunirushia mishale mingi kwa haraka ila halijawahi kunichoma na mshale yake Tatu, naota nataka kung’atwa na nyuki, lakini pia naota kuna majoka yananikimbiza ila moja ya majoka haya hujificha sehemu au kama…
