Author: Mbeya Yetu

#MbeyaYetuTv #NFRA #OfisiyaWaziriMkuu
Sept 2,2021: WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema serikali imeshatoa Sh Bil 15 kwa wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) kununua mahindi kutoka kwa wakulima.
Amesema uzalishaji wa mahindi nchini umekuwa mkubwa hivyo NFRA imepewa fedha ili kununua mahindi kumwezesha mlulima aweze kujikimu hadi msimu ujao.
Waziri Mkuu Majaliwa ameyasema hayo wakati akijibu maswali ya Papo kwa Papo bungeni leo akijibu swali Mbunge wa Kwela Mhe. Deus Clement Sangu.

Read More