Browsing: Video Mpya

Angalia maajabu ya Mlemavu huyu wa macho mkazi wa Lwangwa Busokelo wilayani Rungwe mkoani Mbeya, alipofuka macho akiwa na umri wa miaka 9, anamudu kufanya shughuli mbalimbali za ufundi anaweza kutengeneza baiskeli, pikipiki na hata kuuza duka anatambua na kuwarudishia chenji wateja wake bila kukosea na anatoa huduma kwa bidhaa ulizoagiza.