Close Menu
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

Dkt. Tulia Aongoza kwa Vitendo, Apiga Kura na Kuhamasisha Ushindi wa CCM Uyole

October 29, 2025

DKT MARY MWANJELWA AUNGANA NA WANANCHI KUPIGA KURA AHAMASISHA KUJITOKEZA KWA WINGI AMANI IMETAWALA

October 29, 2025

Nilivyookoa Ndoa Yangu Baada ya Migogoro Kila Usiku Kuhusu Pesa na Wivu

October 27, 2025
Facebook X (Twitter) Instagram
Trending
  • Dkt. Tulia Aongoza kwa Vitendo, Apiga Kura na Kuhamasisha Ushindi wa CCM Uyole
  • DKT MARY MWANJELWA AUNGANA NA WANANCHI KUPIGA KURA AHAMASISHA KUJITOKEZA KWA WINGI AMANI IMETAWALA
  • Nilivyookoa Ndoa Yangu Baada ya Migogoro Kila Usiku Kuhusu Pesa na Wivu
  • MWAKIPESILE: ”TUKAANDAMANE OKTOBA 29 KWA AJILI KUWAPIGIA KURA VIONGOZI KWA AMANI”
  • “Tunatiki CCM, Tunatunza Amani” — Kauli ya Bodaboda Kiwira Yakonga Moyo wa Suma Fyandomo
  • Nilivyomfanya Mtu Aliyenidharau Kuniheshimu na Kunitegemea Kwa Mambo Mengi
  • NABII MPANJI AUTANGAZIA UMMA, WAKRISTO WASISHIRIKI MAANDAMANO WAJITOKEZE KWA WINGI KUPIGA KURA
  • Nilivyookoa Biashara Yangu Baada ya Wateja Wote Kupotea Ghafla
Facebook X (Twitter) Instagram
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
Home » Wauza mifugo wa Mnada wa Upili Tabora wahimizwa kufuata Taratibu,wanao kiuka waonywa.
Habari za Kitaifa

Wauza mifugo wa Mnada wa Upili Tabora wahimizwa kufuata Taratibu,wanao kiuka waonywa.

Mbeya YetuBy Mbeya YetuMarch 9, 2024No Comments5 Views
Facebook Twitter Pinterest LinkedIn WhatsApp Reddit Tumblr Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email
  1. Jeshi la Polisi kikosi cha kuzuia wizi wa Mifugo limesema litaendelea kutoa elimu kwa wafugaji na wafanya biashara wa Mifugo hapa Nchini huku likibainisha kuwa halitomwonea muhali mfugaji yeyote atakaye bainika kutorosha mifugo na kukiuka taratibu za uuzaji wa mifugo hapa nchini. Hayo yamebainisha leo Machi 09, 2024 Wilaya ya Igunga Mkoa wa Tabora na Kamanda wa Polisi kikosi cha kuzuia wizi wa mifugo hapa nchini Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi SACP Simon Pasua alipotembelea mnada wa Upili Igunga ambapo amebainisha kuwa kikosi hicho kitaendelea kutoa elimu kwa wafugaji Nchi nzima ili kuondokana uvunjifu wa sheria. 

Wauza mifugo wa Mnada wa Upili Tabora wahimizwa kufuata Taratibu,wanao kiuka waonywa.

 

Na.Abel Paul, Jeshi la Polisi- Igunga Tabora.

Jeshi la Polisi kikosi cha kuzuia wizi wa Mifugo limesema litaendelea kutoa elimu kwa wafugaji na wafanya biashara wa Mifugo hapa Nchini huku likibainisha kuwa halitomwonea muhali mfugaji yeyote atakaye bainika kutorosha mifugo na kukiuka taratibu za uuzaji wa mifugo hapa nchini.

 

Hayo yamebainisha leo Machi 09, 2024 Wilaya ya Igunga Mkoa wa Tabora na Kamanda wa Polisi kikosi cha kuzuia wizi wa mifugo hapa nchini Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi SACP Simon Pasua alipotembelea mnada wa Upili Igunga ambapo amebainisha kuwa kikosi hicho kitaendelea kutoa elimu kwa wafugaji Nchi nzima ili kuondokana uvunjifu wa sheria.

 

SACP Pasua ameongeza kuwa wafugaji hapa nchini wanatakiwa kufuata taratibu za uuzaji wa Mifugo yao ambapo amesema watakao kiuka taratibu hizo kikosi cha kuzuia wizi wa Mifugo kitaendelea kuwachukulia hatua za kisheria ikiwa ni Pamoja na kuwafikisha Mahakamani wale wote watakao bainika kuvunja sheria.

Aidha ametoa wito kwa wananchi kote Nchini kuendelea kutoa taarifa kwa Jeshi la Polisi za baadhi ya watu wanaojihusisha na wizi wa mifugo ili hatua sitahiki zichukuliwe kwa watao bainika kujihusha na uhalifu huo hapa nchini.

Baadhi ya wafanya Biashara wa mifugo katika mnada wa Upili wa wilaya ya Igunga Mkoani Tabora Pamoja na kushukuru jitihada za Jeshi la Polisi katika kutoa Elimu kwa wafugaji wameomba elimu zaidi itolewe kwa wafugaji ili kujenga uelewa wa Pamoja.

Nae Meneja wa Mnada wa Upili Igunga Mkoani Tabora Bwana Yohana Mtende amesema hapo awali kulikuwepo na changamoto ya uzio wa kisasa katika mnada huo ambapo ameliomba Jeshi la Polisi kikosi cha kuzuia wizi wa mifugo kuendelea kuimarisha Usalama wa Mifugo katika mnada huo.

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Telegram Email
Mbeya Yetu

Related Posts

Nilivyookoa Ndoa Yangu Baada ya Migogoro Kila Usiku Kuhusu Pesa na Wivu

October 27, 2025

Nilivyomfanya Mtu Aliyenidharau Kuniheshimu na Kunitegemea Kwa Mambo Mengi

October 27, 2025

Nilivyookoa Biashara Yangu Baada ya Wateja Wote Kupotea Ghafla

October 26, 2025

Leave A Reply Cancel Reply

Top Posts

LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)

July 29, 2025222

Njia rahisi ya kushinda kesi Mahakamani bila kutoa rushwa

February 7, 2025202

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024196

WAHITIMU WA UUGUZI NA UKUNGA WAPEWA WITO WA KUONYESHA MAADILI, UPENDO NA HESHIMA KAZINI

August 28, 2025126
Don't Miss
Video Mpya

Dkt. Tulia Aongoza kwa Vitendo, Apiga Kura na Kuhamasisha Ushindi wa CCM Uyole

By Mbeya YetuOctober 29, 20258

DKT MARY MWANJELWA AUNGANA NA WANANCHI KUPIGA KURA AHAMASISHA KUJITOKEZA KWA WINGI AMANI IMETAWALA

October 29, 2025

Nilivyookoa Ndoa Yangu Baada ya Migogoro Kila Usiku Kuhusu Pesa na Wivu

October 27, 2025

MWAKIPESILE: ”TUKAANDAMANE OKTOBA 29 KWA AJILI KUWAPIGIA KURA VIONGOZI KWA AMANI”

October 27, 2025
Stay In Touch
  • Facebook
  • Twitter
  • Pinterest
  • Instagram
  • YouTube
  • Vimeo

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from SmartMag about art & design.

About Us
About Us

Mbeya Yetu is a dynamic online platform that serves as a comprehensive source for news and information, offering a diverse range of content that caters to the interests and needs of its audience. Focusing on key pillars such as Habari za Kijamii (Social News), Uchumi na Biashara (Economy and Business), Elimu na Vijana (Education and Youth), Afya na Ustawi (Health and Well-being), and Habari za Kitaifa (National News), Mbeya Yetu is committed to keeping its community informed and engaged.

Facebook X (Twitter) Pinterest YouTube WhatsApp
Our Picks

Dkt. Tulia Aongoza kwa Vitendo, Apiga Kura na Kuhamasisha Ushindi wa CCM Uyole

October 29, 2025

DKT MARY MWANJELWA AUNGANA NA WANANCHI KUPIGA KURA AHAMASISHA KUJITOKEZA KWA WINGI AMANI IMETAWALA

October 29, 2025

Nilivyookoa Ndoa Yangu Baada ya Migogoro Kila Usiku Kuhusu Pesa na Wivu

October 27, 2025
Most Popular

LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)

July 29, 2025222

Njia rahisi ya kushinda kesi Mahakamani bila kutoa rushwa

February 7, 2025202

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024196
© 2025 Mbeya Yetu. Powered by Digital Media Innovation Program.
  • Home

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.