Close Menu
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

Nilivyomrudisha Mume Wangu Baada ya Miaka Mitatu ya Kuachana, Sasa Hachoki Kuniambia ‘You’re My Destiny

October 17, 2025

Madaktari Walishangaa Nilivyopona Maradhi Ambayo Walikuwa Wamesema Hayatibiki

October 17, 2025

Nilivyomfanya Mume Wangu Kusema ‘Baby Siwezi Tena’

October 16, 2025
Facebook X (Twitter) Instagram
Trending
  • Nilivyomrudisha Mume Wangu Baada ya Miaka Mitatu ya Kuachana, Sasa Hachoki Kuniambia ‘You’re My Destiny
  • Madaktari Walishangaa Nilivyopona Maradhi Ambayo Walikuwa Wamesema Hayatibiki
  • Nilivyomfanya Mume Wangu Kusema ‘Baby Siwezi Tena’
  • Nilitangazwa Mshindi wa Jackpot Bila Hata Kuelewa Nimewezaje Siri Yangu Ndiyo Imenigeuza Milionea
  • Ipyana wa CHAUMMA Awasha Moto Uyole — “Mabadiliko Bila Woga!”
  • Walisema Nimerogwa Sitawahi Kuolewa, Lakini Sasa Ndio Mimi Nimeolewa Kwa Harusi ya Ndoto Zangu
  • MWENGE WA UHURU WAZINDUA MRADI MKUBWA WA MAJI FOREST JIJINI MBEYA
  • KIKWETE:”MBEYA IMEHESHIMISHA KILELE CHA MWENGE WA UHURU”
Facebook X (Twitter) Instagram
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
Home » KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU
Habari za Kitaifa

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

Mbeya YetuBy Mbeya YetuMarch 19, 2024Updated:March 19, 20243 Comments193 Views
Facebook Twitter Pinterest LinkedIn WhatsApp Reddit Tumblr Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia wafanyabiashara kumi kwa tuhuma za kutorosha kilo 9.5 za madini ya dhahabu. Akitoa taarifa Waziri wa madini Anthony Mavunde amesema thamani ya dhahabu iliyokamatwa ina thamani ya shilingi bilioni 1.5 ambapo watu kumi wanahusishwa na tukio hilo Ilomba Jijini Mbeya. KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHAB

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia wafanyabiashara kumi kwa tuhuma za kutorosha kilo 9.5 za madini ya dhahabu.

Akitoa taarifa Waziri wa madini Anthony Mavunde amesema thamani ya dhahabu iliyokamatwa ina thamani ya shilingi bilioni 1.5 ambapo watu kumi wanahusishwa na tukio hilo Ilomba Jijini Mbeya.

Mavunde amesema tukio hili ni la pili kutokea Mkoani Mbeya na kuagiza kamishina wa madini kuzifuta leseni zote zinazomilikwa na watu hao pamoja na leseni zote zinazomilikea na watu hao nje ya Mkoa wa Mbeya

Sanjari na kukamatwa watu hao na dhahabu hiyo pia vimekamatwa vifaa vya kuchomea dhahabu na mizani ya kupimia pamoja na dawa za kusafishia uchunguzi ukikamilika watafikishwa mahakamani

Aidha Mavunde ametumia nafasi hiyo kutoa onyo kwa watu wanaomiliki maeneo bila kuyafanyia kazi

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Telegram Email
Mbeya Yetu

Related Posts

MAWAZIRI WAIMWAGIA PONGEZI BENKI YA NMB KWA UTENDAJI WAKE.

October 13, 2025

Benki ya NMB yashiriki kwenye ufunguzi wa Wiki ya Vijana inayofanyika Kitaifa Mbeya

October 13, 2025

Kampeni za Mguu kwa Mguu za Ipyana Njiku wa CHAUMMA Yazidi Kutikisa Jimbo la Uyole

October 12, 2025

3 Comments

  1. 📪 + 0.75899837 BTC.NEXT - https://telegra.ph/Get-BTC-right-now-01-22?hs=a6bd7e2e18e6401d261c59733dfeb7c6& 📪 on February 2, 2025 8:40 am

    48bdon

    Reply
  2. 🔓 Email: TRANSFER 0,755996 bitcoin. Receive >>> https://telegra.ph/Binance-Support-02-18?hs=a6bd7e2e18e6401d261c59733dfeb7c6& 🔓 on February 18, 2025 11:13 pm

    p94zfb

    Reply
  3. 📯 Notification: TRANSFER 1.768436 BTC. Next > https://graph.org/Message--05654-03-25?hs=a6bd7e2e18e6401d261c59733dfeb7c6& 📯 on April 3, 2025 2:18 am

    q3tb96

    Reply

Leave A Reply Cancel Reply

Top Posts

LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)

July 29, 2025221

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024193

Njia rahisi ya kushinda kesi Mahakamani bila kutoa rushwa

February 7, 2025175

WAHITIMU WA UUGUZI NA UKUNGA WAPEWA WITO WA KUONYESHA MAADILI, UPENDO NA HESHIMA KAZINI

August 28, 2025125
Don't Miss
Uncategorized

Nilivyomrudisha Mume Wangu Baada ya Miaka Mitatu ya Kuachana, Sasa Hachoki Kuniambia ‘You’re My Destiny

By Mbeya YetuOctober 17, 20251

Jina langu ni Faith Wambui, kutoka Nakuru. Nilikuwa nimeolewa kwa miaka minne na mume wangu,…

Madaktari Walishangaa Nilivyopona Maradhi Ambayo Walikuwa Wamesema Hayatibiki

October 17, 2025

Nilivyomfanya Mume Wangu Kusema ‘Baby Siwezi Tena’

October 16, 2025

Nilitangazwa Mshindi wa Jackpot Bila Hata Kuelewa Nimewezaje Siri Yangu Ndiyo Imenigeuza Milionea

October 15, 2025
Stay In Touch
  • Facebook
  • Twitter
  • Pinterest
  • Instagram
  • YouTube
  • Vimeo

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from SmartMag about art & design.

About Us
About Us

Mbeya Yetu is a dynamic online platform that serves as a comprehensive source for news and information, offering a diverse range of content that caters to the interests and needs of its audience. Focusing on key pillars such as Habari za Kijamii (Social News), Uchumi na Biashara (Economy and Business), Elimu na Vijana (Education and Youth), Afya na Ustawi (Health and Well-being), and Habari za Kitaifa (National News), Mbeya Yetu is committed to keeping its community informed and engaged.

Facebook X (Twitter) Pinterest YouTube WhatsApp
Our Picks

Nilivyomrudisha Mume Wangu Baada ya Miaka Mitatu ya Kuachana, Sasa Hachoki Kuniambia ‘You’re My Destiny

October 17, 2025

Madaktari Walishangaa Nilivyopona Maradhi Ambayo Walikuwa Wamesema Hayatibiki

October 17, 2025

Nilivyomfanya Mume Wangu Kusema ‘Baby Siwezi Tena’

October 16, 2025
Most Popular

LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)

July 29, 2025221

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024193

Njia rahisi ya kushinda kesi Mahakamani bila kutoa rushwa

February 7, 2025175
© 2025 Mbeya Yetu. Powered by Digital Media Innovation Program.
  • Home

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.