Close Menu
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

BENKI YA NMB YAWACHIA FURAHA WAGONJWA HOSPITALI YA RUFAA MKOA MBEYA YAKABIDHI VITANDA 20 NA MAGODORO

August 21, 2025

Njia Sahihi za Kujilinda Dhidi ya Uchawi na Roho za Wivu

August 21, 2025

Jamaa Akimbia Harusi Yake Mwenyewe Akisema Anahisi Kuvutwa Na Upendo Wa Ex Wake

August 21, 2025
Facebook X (Twitter) Instagram
Trending
  • BENKI YA NMB YAWACHIA FURAHA WAGONJWA HOSPITALI YA RUFAA MKOA MBEYA YAKABIDHI VITANDA 20 NA MAGODORO
  • Njia Sahihi za Kujilinda Dhidi ya Uchawi na Roho za Wivu
  • Jamaa Akimbia Harusi Yake Mwenyewe Akisema Anahisi Kuvutwa Na Upendo Wa Ex Wake
  • Wafanyabiashara wadogo wapata utulivu wa kimaisha kupitia msaada wa pekee
  • “Polisi Mbeya Wamnasa Mwindaji Haramu na Meno ya Tembo”
  • “Mwanamke Mbeya Akamatwa na Vifaa vya Umeme TANESCO Nyumbani Kwake”
  • “Polisi Mbeya Wanasa Watuhumiwa 9 wa Utapeli Kupitia Mitandao ya Kijamii”
  • Jinsi Nilivyofanikiwa Kupata Utajiri Kupitia Money Spell
Facebook X (Twitter) Instagram
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
Home » DKT. TULIA ATOA MSAADA WA VIPAZA SAUTI MSIKITI WA MASJID BI FATMA NZOVWE JIJINI MBEYA
Uncategorized

DKT. TULIA ATOA MSAADA WA VIPAZA SAUTI MSIKITI WA MASJID BI FATMA NZOVWE JIJINI MBEYA

Mbeya YetuBy Mbeya YetuMarch 29, 2024No Comments60 Views
Facebook Twitter Pinterest LinkedIn WhatsApp Reddit Tumblr Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

Taasisi ya Tulia Trust inayoongozwa na Rais wa Mabunge Duniani Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mbunge wa Mbeya Mjini Dkt Tulia Ackson imetoa msaada wa vyombo vya kuhubiria Msikiti wa Masjid Bi Fatma Nzovwe Jijini Mbeya.Akikabidhi vifaa hivyo kwa niaba ya Dkt Tulia Ackson Afisa Habari wa Taasisi hiyo Joshua Mwakanolo amesema lengo ni kutekeleza ombi la Msikiti huo kwa Mbunge ambapo waliomba vipaza sauti kwa ajili ya ibada.Kwa niaba ya Shekhe Mkuu wa Mkoa wa Mbeya msemaji wake Shekhe Ibrahim Bombo mbali ya kushukuru amewaomba waumini kumuombea dua ya heri huku akitaka vyombo hivyo vitunzwe kwa uangalifu. Naye Hemed Kipengele kwa niaba ya Waumini ametoa neno la shukurani akimshukuru Mbunge kwa kutoa vifaa hivyo bila kujali itikadi za Kidini.Aidha Justin Kayuni Mjumbe wa Serikali ya Mtaa wa Ndanyela ameipongeza Taasisi ya Tulia Trust kwa kutoa vifaa hivyo kwani vitasaidia kueneza neno la Mungu.

Taasisi ya Tulia Trust inayoongozwa na Rais wa Mabunge Duniani Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mbunge wa Mbeya Mjini Dkt Tulia Ackson imetoa msaada wa vyombo vya kuhubiria Msikiti wa Masjid Bi Fatma Nzovwe Jijini Mbeya.

Akikabidhi vifaa hivyo kwa niaba ya Dkt Tulia Ackson Afisa Habari wa Taasisi hiyo Joshua Mwakanolo amesema lengo ni kutekeleza ombi la Msikiti huo kwa Mbunge ambapo waliomba vipaza sauti kwa ajili ya ibada.

Kwa niaba ya Shekhe Mkuu wa Mkoa wa Mbeya msemaji wake Shekhe Ibrahim Bombo mbali ya kushukuru amewaomba waumini kumuombea dua ya heri huku akitaka vyombo hivyo vitunzwe kwa uangalifu.

Naye Hemed Kipengele kwa niaba ya Waumini ametoa neno la shukurani akimshukuru Mbunge kwa kutoa vifaa hivyo bila kujali itikadi za Kidini.

Aidha Justin Kayuni Mjumbe wa Serikali ya Mtaa wa Ndanyela ameipongeza Taasisi ya Tulia Trust kwa kutoa vifaa hivyo kwani vitasaidia kueneza neno la Mungu.

Hatimaye Abdalah Yundu Shekhe Mkuu wa Wilaya ya Mbeya ameongoza dua ya kumuombea Dkt Tulia Ackson katika kazi zake za kila siku.

Dkt Tulia amekuwa akitoa misaada mbalimbali bila kujali itikadi za Kidini na Kisiasa ambapo hivi karibuni amefanikisha ujenzi wa Misikiti ya Tukuyu Mjini,Kiwira Wilayani Rungwe na Uyole Jijini Mbeya.

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Telegram Email
Mbeya Yetu

Related Posts

Njia Sahihi za Kujilinda Dhidi ya Uchawi na Roho za Wivu

August 21, 2025

Jamaa Akimbia Harusi Yake Mwenyewe Akisema Anahisi Kuvutwa Na Upendo Wa Ex Wake

August 21, 2025

Wafanyabiashara wadogo wapata utulivu wa kimaisha kupitia msaada wa pekee

August 20, 2025

Leave A Reply Cancel Reply

Top Posts

LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)

July 29, 2025185

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024181

TULIA TRUST YATOA MIFUKO 400 YA SARUJI KWA SHULE 3 JIJINI MBEYA

March 26, 202486

Njia rahisi ya kushinda kesi Mahakamani bila kutoa rushwa

February 7, 202583
Don't Miss
Video Mpya

BENKI YA NMB YAWACHIA FURAHA WAGONJWA HOSPITALI YA RUFAA MKOA MBEYA YAKABIDHI VITANDA 20 NA MAGODORO

By Mbeya YetuAugust 21, 20250

#mbeyayetutv

Njia Sahihi za Kujilinda Dhidi ya Uchawi na Roho za Wivu

August 21, 2025

Jamaa Akimbia Harusi Yake Mwenyewe Akisema Anahisi Kuvutwa Na Upendo Wa Ex Wake

August 21, 2025

Wafanyabiashara wadogo wapata utulivu wa kimaisha kupitia msaada wa pekee

August 20, 2025
Stay In Touch
  • Facebook
  • Twitter
  • Pinterest
  • Instagram
  • YouTube
  • Vimeo

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from SmartMag about art & design.

About Us
About Us

Mbeya Yetu is a dynamic online platform that serves as a comprehensive source for news and information, offering a diverse range of content that caters to the interests and needs of its audience. Focusing on key pillars such as Habari za Kijamii (Social News), Uchumi na Biashara (Economy and Business), Elimu na Vijana (Education and Youth), Afya na Ustawi (Health and Well-being), and Habari za Kitaifa (National News), Mbeya Yetu is committed to keeping its community informed and engaged.

Facebook X (Twitter) Pinterest YouTube WhatsApp
Our Picks

BENKI YA NMB YAWACHIA FURAHA WAGONJWA HOSPITALI YA RUFAA MKOA MBEYA YAKABIDHI VITANDA 20 NA MAGODORO

August 21, 2025

Njia Sahihi za Kujilinda Dhidi ya Uchawi na Roho za Wivu

August 21, 2025

Jamaa Akimbia Harusi Yake Mwenyewe Akisema Anahisi Kuvutwa Na Upendo Wa Ex Wake

August 21, 2025
Most Popular

LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)

July 29, 2025185

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024181

TULIA TRUST YATOA MIFUKO 400 YA SARUJI KWA SHULE 3 JIJINI MBEYA

March 26, 202486
© 2025 Mbeya Yetu. Powered by Digital Media Innovation Program.
  • Home

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.