Close Menu
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

Shinikizo la Damu Liliendelea Kunisumbua Hatua Moja Ndogo Ilinirejesha Afya Yangu

December 25, 2025

Jinsi Nilivyorejesha Heshima Yangu Baada Ya Mjomba Kunisaliti Ndoa Na Ukweli Kujitokeza Bila Vurugu

December 25, 2025

Nilijaribu Kila Njia Kuokoa Uhusiano Wangu Ulioathirika na Pombe Hii Njia Ilifanya Kila Kitu Rahisi

December 24, 2025
Facebook X (Twitter) Instagram
Trending
  • Shinikizo la Damu Liliendelea Kunisumbua Hatua Moja Ndogo Ilinirejesha Afya Yangu
  • Jinsi Nilivyorejesha Heshima Yangu Baada Ya Mjomba Kunisaliti Ndoa Na Ukweli Kujitokeza Bila Vurugu
  • Nilijaribu Kila Njia Kuokoa Uhusiano Wangu Ulioathirika na Pombe Hii Njia Ilifanya Kila Kitu Rahisi
  • Ulinzi Mkali Waimarishwa Kuelekea Krismasi na Mwaka Mpya 2026 โ€“ Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya
  • MSHTUKO MBEYA: MTOTO DARASA LA SABA AUAWA KWA KIPANDE CHA MTI KWA TUHUMA ZA WIZI WA MAYAI
  • Nilipoteza Amani Bila Sababu Inayoonekana Ufafanuzi wa Kienyeji Ulinipa Mwanga
  • MH. MAHUNDI AWAHIMIZA VIJANA KUISHI KWA MISINSI YA UWAJIBIKAJI NA UTU
  • Familia Yetu Ilikosa Baraka ya Utulivu Tulipoelewa Chanzo, Njia Ikafunguka
Facebook X (Twitter) Instagram
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
Home ยป JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI MBEYA LAUPOA MWILI WA MTU MTO MAGEGE KATA YA ILEMI
Uncategorized

JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI MBEYA LAUPOA MWILI WA MTU MTO MAGEGE KATA YA ILEMI

Mbeya YetuBy Mbeya YetuMarch 30, 2024No Comments29 Views
Facebook Twitter Pinterest LinkedIn WhatsApp Reddit Tumblr Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Mbeya limefanikiwa kuopoa mwili wa mtu jinsi ya kiume daraja la mto Magege Mtaa wa Masewe Kata ya Ilemi Jijini Mbeya anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka thelathini na nane hadi arobaini.Akitoa taarifa eneo la tukio Askari wa zamu Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Sajini Abdalah Sebombo amesema tukio limetokea majira ya saa mbili kasorobo asubuhi machi 30,2024.Kaimu Mwenyekiti wa Mtaa wa Maswe Japhet Mahinya amesema alipata taarifa kutoka kwa mwananchi naye baada ya kufika eneo la tukio na kitoa taarifa Polisi,Polisi walipofika waliona mwili ukiwa korongo la mto hivyo ikawalazimu kuwasilana na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji.

Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Mbeya limefanikiwa kuopoa mwili wa mtu jinsi ya kiume daraja la mto Magege Mtaa wa Masewe Kata ya Ilemi Jijini Mbeya anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka thelathini na nane hadi arobaini.

Akitoa taarifa eneo la tukio Askari wa zamu Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Sajini Abdalah Sebombo amesema tukio limetokea majira ya saa mbili kasorobo asubuhi machi 30,2024.

Aidha ametoa rai kwa wananchi kutoa taarifacmapema kupitia namba ya dharura 114.

Kaimu Mwenyekiti wa Mtaa wa Maswe Japhet Mahinya amesema alipata taarifa kutoka kwa mwananchi naye baada ya kufika eneo la tukio na kitoa taarifa Polisi,Polisi walipofika waliona mwili ukiwa korongo la mto hivyo ikawalazimu kuwasilana na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji.

Baada ya kufika Jeshi la Zimamoto na Uokoaji walifanikiwa kuuopoa mwili huo na kuwataka wananchi wafanye utambuzi lakini hakuna aliyeweza kumtambua.

Wananchi wanapaswa kuchukua tahadhari hasa katika kipindi hiki cha masika ambapo maji hujaa katika mito au visima ili kuepusha maafa.

Wito umetolewa kwa yeyote aliyepotelewa na ndugu yake afike Hospitali ya Rufaa Kanda ya Mbeya ajili ya utambuzi.

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Telegram Email
Mbeya Yetu

Related Posts

Shinikizo la Damu Liliendelea Kunisumbua Hatua Moja Ndogo Ilinirejesha Afya Yangu

December 25, 2025

Jinsi Nilivyorejesha Heshima Yangu Baada Ya Mjomba Kunisaliti Ndoa Na Ukweli Kujitokeza Bila Vurugu

December 25, 2025

Nilijaribu Kila Njia Kuokoa Uhusiano Wangu Ulioathirika na Pombe Hii Njia Ilifanya Kila Kitu Rahisi

December 24, 2025

Leave A Reply Cancel Reply

Top Posts

Njia rahisi ya kushinda kesi Mahakamani bila kutoa rushwa

February 7, 2025271

LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)

July 29, 2025238

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024211

WAHITIMU WA UUGUZI NA UKUNGA WAPEWA WITO WA KUONYESHA MAADILI, UPENDO NA HESHIMA KAZINI

August 28, 2025131
Don't Miss
Uncategorized

Shinikizo la Damu Liliendelea Kunisumbua Hatua Moja Ndogo Ilinirejesha Afya Yangu

By Mbeya YetuDecember 25, 20251

Nilikuwa nikihisi hisia zisizoelezeka kila siku. Kila mara moyo wangu ulipiga haraka, kichefuchefu kilikuwa cha…

Jinsi Nilivyorejesha Heshima Yangu Baada Ya Mjomba Kunisaliti Ndoa Na Ukweli Kujitokeza Bila Vurugu

December 25, 2025

Nilijaribu Kila Njia Kuokoa Uhusiano Wangu Ulioathirika na Pombe Hii Njia Ilifanya Kila Kitu Rahisi

December 24, 2025

Ulinzi Mkali Waimarishwa Kuelekea Krismasi na Mwaka Mpya 2026 โ€“ Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya

December 24, 2025
Stay In Touch
  • Facebook
  • Twitter
  • Pinterest
  • Instagram
  • YouTube
  • Vimeo

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from SmartMag about art & design.

About Us
About Us

Mbeya Yetu is a dynamic online platform that serves as a comprehensive source for news and information, offering a diverse range of content that caters to the interests and needs of its audience. Focusing on key pillars such as Habari za Kijamii (Social News), Uchumi na Biashara (Economy and Business), Elimu na Vijana (Education and Youth), Afya na Ustawi (Health and Well-being), and Habari za Kitaifa (National News), Mbeya Yetu is committed to keeping its community informed and engaged.

Facebook X (Twitter) Pinterest YouTube WhatsApp
Our Picks

Shinikizo la Damu Liliendelea Kunisumbua Hatua Moja Ndogo Ilinirejesha Afya Yangu

December 25, 2025

Jinsi Nilivyorejesha Heshima Yangu Baada Ya Mjomba Kunisaliti Ndoa Na Ukweli Kujitokeza Bila Vurugu

December 25, 2025

Nilijaribu Kila Njia Kuokoa Uhusiano Wangu Ulioathirika na Pombe Hii Njia Ilifanya Kila Kitu Rahisi

December 24, 2025
Most Popular

Njia rahisi ya kushinda kesi Mahakamani bila kutoa rushwa

February 7, 2025271

LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)

July 29, 2025238

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024211
© 2025 Mbeya Yetu. Powered by Digital Media Innovation Program.
  • Home

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.