Tohara kwa wanaume ni oparesheni inayohusu kuondolewa kwa sehemu ya ngozi au ngozi yote inayofunika kichwa cha uume, na imekuwa ikifanywa na baadhi ya watu katika makabila na dini mbalimbali kwa zaidi ya maelfu ya miaka.
Kwa sasa tohara kwa wanaume imeamsha mvuto mkubwa wa kisayansi na uchunguzi kwa sababu utafiti umethibitisha kuwa wanaume waliotahiriwa wana viwango vidogo vya maambukizo ya virusi vya ukimwi (VVU) kuliko wasiotahiriwa.
Trending
- Ipyana wa CHAUMMA Awasha Moto Uyole — “Mabadiliko Bila Woga!”
- Walisema Nimerogwa Sitawahi Kuolewa, Lakini Sasa Ndio Mimi Nimeolewa Kwa Harusi ya Ndoto Zangu
- MWENGE WA UHURU WAZINDUA MRADI MKUBWA WA MAJI FOREST JIJINI MBEYA
- KIKWETE:”MBEYA IMEHESHIMISHA KILELE CHA MWENGE WA UHURU”
- Nilihangaika na Migogoro ya Familia Kwa Miaka Mingi, Lakini Siri Niliyotumia Ikarudisha Upendo na Amani Nyumbani
- Basi tulipolala na mume wangu, kila mtu aligeukia upande wake
- SHIRIKA LA POSTA LATOA ZAWADI ,VYETI KWA WASHINDI WA UANDISHI WA BARUA MBEYA.
- SERIKALI IMEWEKA MIKAKATI DHABITI YA KUKABILIANA NA MAJANGA NCHINI-MAJALIWA