Tohara kwa wanaume ni oparesheni inayohusu kuondolewa kwa sehemu ya ngozi au ngozi yote inayofunika kichwa cha uume, na imekuwa ikifanywa na baadhi ya watu katika makabila na dini mbalimbali kwa zaidi ya maelfu ya miaka.
Kwa sasa tohara kwa wanaume imeamsha mvuto mkubwa wa kisayansi na uchunguzi kwa sababu utafiti umethibitisha kuwa wanaume waliotahiriwa wana viwango vidogo vya maambukizo ya virusi vya ukimwi (VVU) kuliko wasiotahiriwa.
Trending
- Polisi Mbeya Wakamata Gari la Bhangi Mafurushi 67 Likiwa Linatoka Malawi
- Dkt. Tulia Azindua Ambulansi Mpya kwa Kituo cha Afya Mwakibete ili Kuboresha Huduma za Afya Mbeya
- KANUNI ZA MAADILI YA UCHAGUZI WA RAIS, WABUNGE NA MADIWANI ZA MWAKA 2025
- Vigeregere na Shangwe! Dkt. Tulia Aongoza Mapokezi ya Mabomba ya Mradi wa Maji kutoka Mto Kiwira
- Nsomba Ampongeza Dk. Tulia Ackson kwa kutoa huduma ya matibabu ya Macho Bure Jijini Mbeya
- Dkt. Tulia Ackson Aongoza Zoezi la Upimaji na Matibabu ya Macho Bure Jijini Mbeya
- JK AWAILISHA SALAMU ZA RAIS SAMIA KWA KEPTENI IBRAHIM TRAORE, KIONGOZI WA KIJESHI WA BURKINA FASO MJINI OUAGADOUGOU LEO