Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Mhe.Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete alikuwa miongoni mwa maelfu ya waombolezaji katika ibada ya Mazishi ya Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. David Cleopa Msuya, ibada iliyofanyika Kanisa la KKKT Usharika wa Usangi Kivindu Dayosisi ya Mwanga Mkoani Kilimanjaro jana Jumanne Mei 13,2025.
Trending
- WAZEE WA UBWABWA CHAUMA MKOA WA SONGWE WATOA NENO KWA VIOGOZI WA DINI NA SERIKALI
- BENKI YA NMB NYANDA ZA JUU WATOA SAPOTI MABATI 128 KWA SHULE ILIYOEZULIWA NA UPEPO ILEJE
- RAIS SAMIA NA RAIS MSTAAFU KIKWETE WAPONGEZWA KWA KUFANIKISHA USHINDI WA PROFESA JANABI KATIKA UCHAGUZI WA MKURUGENZI WA WHO KANDA YA AFRIKA
- JK ASHIRIKI IBADA YA MAZISHI YA MAREHEMU CLEOPA DAVID MSUYA HUKO MWANGA
- INEC YATAKA VIONGOZI MIKOA 16 KUSHIRIKI KUONDOA WALIOKOSA SIFA
- NI KILIO!!WAENDESHA BAJAJI NA WAKAZI MTAA WA JUHUDI ILEMI JIJINI MBEYA WALILIA MIUNDO MBINU BARABARA
- NMB FOUNDATION KANDA NYANDA ZA JUU YATOA MAFUNZO KWA AMCOS KUWAWEZESHA WAKULIMA KAKAO KYELA
- Wizi wa Bima Wafumuliwa, Serikali Yapanga Mashambulizi