Wananchi wa Kata ya Iyela, Jijini Mbeya, wameiomba Serikali kuangalia kwa jicho la huruma barabara ya eneo la Hali ya Hewa hadi Kituo cha Afya Iyela, wakieleza kuwa barabara hiyo imekuwa katika hali mbaya kwa zaidi ya miaka kumi. Wamesema barabara imejaa mashimo makubwa yanayosababisha vyombo vya usafiri ikiwemo bajaji na pikipiki kushindwa kupita kwa urahisi, hali inayowaathiri wananchi hususan wagonjwa wanaoelekea kupata huduma za afya katika kituo hicho.
Trending
- Alinitupa Bila Majuto, Lakini Muda Mfupi Baadaye Alianza Kunisumbua Kila Siku Bila Mimi Kujitahidi
- Nilikuwa Najaribu Kila Kitu Kupandisha Biashara Bila Mafanikio Siri Moja Iliyoniletea Mafanikio ya Haraka
- Mwalunenge Aanza Kutatua Kero ya Barabara Iyela kwa Kumwaga Vifusi
- Iyela Yalia kwa Serikali, Barabara Muhimu Yageuka Mtego
- Nilivyovutia Wateja Wengi Na Kila Siku Kuongeza Mapato Baada ya Hatua Moja Rahisi Ya Kienyeji Nilizofuata
- Baada ya Kukwama Kuuza Mali Zangu, Hatua Niliyopata Ilibadilisha Kila Kitu Ndani ya Muda Mfupi Sana
- MAKONDA KWA MARA YA KWANZA AUNGURUMA
- Baada ya Miaka ya Kutokuwa na Hisia Kitandani, Hatimaye Nilipata Suluhisho la Kudumu

