Kwa muda mrefu nilikuwa nikiishi maisha ya kawaida juu juu. Kila kitu kilionekana sawa. Lakini nyuma ya pazia, kulikuwa na mambo mengi yaliyokuwa hayapigi kelele. Familia yetu ilikuwa imegubikwa na migogoro isiyoeleweka. Chuki zisizo na chanzo.
Wagonjwa wa mara kwa mara. Watoto waliokuwa na hofu bila sababu. Nilidhani ni mikosi ya kawaida ya maisha. Kadri nilivyokua, nilianza kuona muingiliano wa ajabu. Kila aliyekuwa anajaribu kusonga mbele, alirudi nyuma. Ndoa zilikuwa hazidumu.
Biashara zilikuwa zinafungwa ghafla. Kila sherehe ilimalizika kwa machozi. Nilipouliza wazee, walinyamaza. Kulikuwa na siri nzito iliyokuwa haizungumzwi. Ukweli ulianza kujitokeza taratibu. Ndoto zilianza kunijia. Ndoto zilizojaa sura za watu niliowajua. Soma zaidi hapa

