Close Menu
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

MADAKTARI BINGWA WA HOSPITALI YA RUFAA YA KANDA MBEYA KUTOA HUDUMA ZA KIBINGWA MKOANI MANYARA

January 26, 2026

Serikali Yakabidhi Vifaa vya Kujifunzia kwa Wanafunzi Wenye Mahitaji Maalum Nsalala

January 26, 2026

Nilipata Miscarriage Mara Tano Hadi Nikapoteza Ndoto Zangu Za Kuwa Mama Mpaka Nilipopata Usaidizi Usio na Madhara

January 25, 2026
Facebook X (Twitter) Instagram
Trending
  • MADAKTARI BINGWA WA HOSPITALI YA RUFAA YA KANDA MBEYA KUTOA HUDUMA ZA KIBINGWA MKOANI MANYARA
  • Serikali Yakabidhi Vifaa vya Kujifunzia kwa Wanafunzi Wenye Mahitaji Maalum Nsalala
  • Nilipata Miscarriage Mara Tano Hadi Nikapoteza Ndoto Zangu Za Kuwa Mama Mpaka Nilipopata Usaidizi Usio na Madhara
  • Nilifanya Kazi Kwa Miaka Miwili Bila Kupata Promotion Ila Nilijitafutia Hiyo Promotion Mwenyewe
  • Ndoa Yangu Ilikuwa Karibu Kuvunjika Lakini Siri Hii ya Mwisho Iliokoa Mapenzi Yetu
  • Walidhani Ni Bahati Tu Lakini Ukweli Uliofichuka Ulishangaza Kila Mtu
  • NAIBU WAZIRI MAHUNDI AWASIHI WANAFUNZI TENGERU, KUTUMIA ELIMU KUTATUA CHANGAMOTO ZA JAMII
  • Aliiba Kila Siku Bila Kuonekana Siku Moja Hatua Moja Ilimrudisha Mwenyewe Akiwa Ametikisika
Facebook X (Twitter) Instagram
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
Home » MADAKTARI BINGWA WA HOSPITALI YA RUFAA YA KANDA MBEYA KUTOA HUDUMA ZA KIBINGWA MKOANI MANYARA
Habari za Kitaifa

MADAKTARI BINGWA WA HOSPITALI YA RUFAA YA KANDA MBEYA KUTOA HUDUMA ZA KIBINGWA MKOANI MANYARA

Mbeya YetuBy Mbeya YetuJanuary 26, 2026No Comments6 Views
Facebook Twitter Pinterest LinkedIn WhatsApp Reddit Tumblr Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

Madaktari Bingwa wa Mifupa na Magonjwa yanayohusiana na Ajali kutoka Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya leo wameanza kutoa huduma ya uchunguzi na matibabu ya kibingwa mkoani Manyara katika kambi maalumu ya Madaktari Bingwa ya Mifupa, Macho, pua, koo na masikio iliyoandaliwa na Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara, inayolenga kusogeza na kuboresha huduma kibingwa za afya kwa wananchi wa mkoa wa huo.

Kwa upande wake, Dkt Baraka Mponda, Daktari Bingwa wa Upasuaji wa Mifupa kutoka Rufaa ya Kanda Mbeya, amesema kuwa juhudi hizo ni sehemu ya mkakati wa Serikali na Wadau wa afya wa kuhakikisha huduma za matibabu zinawafikia wananchi popote walipo.

“Tunataka kuhakikisha kuwa wagonjwa wanapata huduma bora za kibingwa bila usumbufu, kubadilishana na kujengeana uwezo kwa watoa huduma za afya na pia hii ni sehemu ya juhudi zinazozingatia ushirikiano kati ya hospitali za Mikoa na zile za Kanda, ili kuhakikisha huduma za kibingwa zinapatikana kwa urahisi zaidi kwa wananchi wa Manyara na maeneo jirani,” alisema Dkt. Mponda

Kambi hii maalum inayofanywa kwa kushirikiana na wataalamu wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mbeya itadumu kwa siku tano kuanzia Januari 26 hadi 30, 2026, ambapo madaktari bingwa hao watafanya kliniki za matibabu, upasuaji, na ushauri wa kitaalamu kwa wagonjwa wenye matatizo ya mifupa na ajali.

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Telegram Email
Mbeya Yetu

Related Posts

NAIBU WAZIRI MAHUNDI AWASIHI WANAFUNZI TENGERU, KUTUMIA ELIMU KUTATUA CHANGAMOTO ZA JAMII

January 23, 2026

Child Support Tanzania Yawawezesha Madiwani Mbeya Kuhusu Elimu Jumuishi

January 8, 2026

NMB Yaimarisha Ushirikiano na Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya

January 7, 2026

Leave A Reply Cancel Reply

Top Posts

Njia rahisi ya kushinda kesi Mahakamani bila kutoa rushwa

February 7, 2025312

LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)

July 29, 2025244

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024220

WAHITIMU WA UUGUZI NA UKUNGA WAPEWA WITO WA KUONYESHA MAADILI, UPENDO NA HESHIMA KAZINI

August 28, 2025136
Don't Miss
Habari za Kitaifa

MADAKTARI BINGWA WA HOSPITALI YA RUFAA YA KANDA MBEYA KUTOA HUDUMA ZA KIBINGWA MKOANI MANYARA

By Mbeya YetuJanuary 26, 20266

Madaktari Bingwa wa Mifupa na Magonjwa yanayohusiana na Ajali kutoka Hospitali ya Rufaa ya Kanda…

Serikali Yakabidhi Vifaa vya Kujifunzia kwa Wanafunzi Wenye Mahitaji Maalum Nsalala

January 26, 2026

Nilipata Miscarriage Mara Tano Hadi Nikapoteza Ndoto Zangu Za Kuwa Mama Mpaka Nilipopata Usaidizi Usio na Madhara

January 25, 2026

Nilifanya Kazi Kwa Miaka Miwili Bila Kupata Promotion Ila Nilijitafutia Hiyo Promotion Mwenyewe

January 25, 2026
Stay In Touch
  • Facebook
  • Twitter
  • Pinterest
  • Instagram
  • YouTube
  • Vimeo

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from SmartMag about art & design.

About Us
About Us

Mbeya Yetu is a dynamic online platform that serves as a comprehensive source for news and information, offering a diverse range of content that caters to the interests and needs of its audience. Focusing on key pillars such as Habari za Kijamii (Social News), Uchumi na Biashara (Economy and Business), Elimu na Vijana (Education and Youth), Afya na Ustawi (Health and Well-being), and Habari za Kitaifa (National News), Mbeya Yetu is committed to keeping its community informed and engaged.

Facebook X (Twitter) Pinterest YouTube WhatsApp
Our Picks

MADAKTARI BINGWA WA HOSPITALI YA RUFAA YA KANDA MBEYA KUTOA HUDUMA ZA KIBINGWA MKOANI MANYARA

January 26, 2026

Serikali Yakabidhi Vifaa vya Kujifunzia kwa Wanafunzi Wenye Mahitaji Maalum Nsalala

January 26, 2026

Nilipata Miscarriage Mara Tano Hadi Nikapoteza Ndoto Zangu Za Kuwa Mama Mpaka Nilipopata Usaidizi Usio na Madhara

January 25, 2026
Most Popular

Njia rahisi ya kushinda kesi Mahakamani bila kutoa rushwa

February 7, 2025312

LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)

July 29, 2025244

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024220
© 2026 Mbeya Yetu. Powered by Digital Media Innovation Program.
  • Home

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.