AJIUA KWA KUJICHOMA MOTO.Mnamo tarehe 08.11.2021 majira ya saa 03:00 asubuhi huko Kijiji cha Ihombekilichopo Kata ya Utengule Usongwe, Tarafa ya Usongwe, Wilaya ya MbeyaVijijini, Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la MASHAKA SAIMON @YOKONIA [35] Mkazi wa Kijiji cha Ihombe alikutwa ndani ya nyumba yakeakiwa amefariki dunia kwa kuungua moto.
Ni kwamba kabla ya tukio hilo marehemu alikuwa akisumbuliwa na maradhi kwamuda mrefu na alitelekezwa na mke wake hali iliyopelekea kukata tamaa yamaisha na siku chache zilizopita alifanya jaribio la kujilipua kwa Petrol kabla yakuokolewa na mdogo wake. Upelelezi wa shauri hili unaendelea.Aidha ninatoa wito kwa wananchi/jamii kwa ujumla kutoa taarifa za mtu/watuwenye hali ya kukata tamaa ya Maisha kwa viongozi wao wa vijiji, mitaa kabla yakutokea madhara makubwa kama ilivyotokea kwa marehemu MASHAKASAIMON @ YOKONIA
Trending
- Dkt. Samia Amuapisha Dkt. Mwigulu: Tanzania Yapata Waziri Mkuu Mpya
- Nilivyofanikiwa Kumaliza Migogoro ya Urithi Kati ya Ndugu Bila Kufika Mahakamani
- Waziri Mkuu Mteule Dk. Mwigulu Aahidi Kazi, Nidhamu na Uwajibikaji
- Nilivyogundua Sababu ya Kukosa Raha Kila Wakati wa Tendo la Ndoa na Jinsi Nilivyopona Bila Dawa
- Breaking News!!! Rais Samia Amteua Dkt Mwigulu Nchemba Waziri Mkuu mpya JMT.
- Nilivyopata Nafuu Baada ya Kuugua Miguu na Mgongo Kwa Muda Mrefu Bila Tiba Kufanya Kazi
- Nilivyorejesha Hisia Zangu Baada ya Muda Mrefu Bila Kutamani Tena Kuwa Karibu na Mume Wangu
- BABALEVO AINGIA KWENYE 18 ZA SPIKA ZUNGU AKILA KIAPO BUNGENI
