#MbeyaYetuTv
Katika harakati zake za kupigania Uhuru wa Tanganyika Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alifika mkoani Mbeya na kupokelewa na wapigania Uhuru wakiongozwa na Bi Zeituni Matola ambako kwa sasa panaitwa Sokomatola.
Jina hili la Sokomatola limetokana na mwanamama huyu mwanaharakati Bointi ,Matola ambaye alidiriki kumficha Mwalimu Nyerere na kumtorosha kwa kumvalisha Baibui wakati akisakwa na wakoloni, hii ilikuwa ni mwanzoni mwa miaka ya 1950 kabla ya kuzaliwa Chama cha TANU.
Trending
- MVUA ILIVYOATHIRI BARABARA MITAANI ITEZI MBEYA WANANCHI WAPAAZA SAUTI ,MDAU AJITOKEZA KUTOA SAPOTI
- MVUA ILIVYOATHIRI MIUNDO MBINU MITAANI ITEZI MBEYA WANANCHI WAPAAZA KILIO
- KUSUASUA KWA UJENZI BARABARA NJIA NNE JIJINI MBEYA WANANCHI WATOA MAONI YAO
- CHAKAMWATA YAJA NA TAMKO KWA RAIS ONGEZEKO LA MSHAHARA KIMA CHA CHINI
- MADAKTARI BINGWA 36 WA DKT SAMIA WAWEKA KAMBI SIKU 5 MBEYA KUTOA MATIBABU MIKOA NYANDA ZA JUU KUSINI
- WAANDISHI WA HABARI KUANZA KUJISAJILI KWENYE MFUMO WA TAI-HABARI – MSIGWA
- “Meya: Deni la Kuipandisha Mbeya City Limelipwa!” Maandalizi Mapya Yaanza kwa Kishindo”
- Mkurugenzi Zahara Michuzi atunukiwa cheti cha Mfanyakazi Hodari Mei Mosi Maswa