#MbeyaYetuTv
Katika harakati zake za kupigania Uhuru wa Tanganyika Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alifika mkoani Mbeya na kupokelewa na wapigania Uhuru wakiongozwa na Bi Zeituni Matola ambako kwa sasa panaitwa Sokomatola.
Jina hili la Sokomatola limetokana na mwanamama huyu mwanaharakati Bointi ,Matola ambaye alidiriki kumficha Mwalimu Nyerere na kumtorosha kwa kumvalisha Baibui wakati akisakwa na wakoloni, hii ilikuwa ni mwanzoni mwa miaka ya 1950 kabla ya kuzaliwa Chama cha TANU.
Trending
- KONGAMANO MAFUNDI MBEYA. DC MALISSA AWEKA BAYANA ”UAMINIFU WA MAFUNDI SIRI YA KUWA FUNDI SMART”
- FUNDI SMART YAWA MKOMBOZI KWA MAFUNDI NCHINI 7000 WAJISAJILI KWENYE MFUMO MKOANI WA MBEYA
- KUUNDWA KWA JAB NI HATUA YA KUIMARISHA NA KUBORESHA SEKTA YA HABARI – MAJALIWA
- SPIKA DKT. TULIA ACKSON AFUNGUA KONGAMANO LA WASOMI WA AFRIKA UDSM
- JK ASHIRIKI KUTOA MAFUNZO CHUO KIKUU CHA HAVARD HUKO BOSTON KWA MAWAZIRI WA NCHI ZINAZOENDELEA
- SERIKALI ITAFANYIA KAZI HARAKA MAAZIMIO YA KONGAMANO LA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI- MSIGWA.
- MH. MAHUNDI AKARIBISHWA NA MABANGO JOJO
- MH. MAHUNDI Atembelea Banda la Wakala wa Nishati Vijijini (REA)Atoa Msaada kwa Maendeleo ya Wananchi