Close Menu
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

KAMPUNI YA PYTEK YAWAPA FURAHA WAKULIMA WA PARETO JOJO MBEYA VIJIJINI

September 6, 2025

MAHUNDI ATIKISA UZINDUZI KAMPENI JIMBO LA LUPA

September 6, 2025

Kijana Maskini Aliyekuwa Hana Kazi Sasa Ni Meneja Anayetembea Gari

September 6, 2025
Facebook X (Twitter) Instagram
Trending
  • KAMPUNI YA PYTEK YAWAPA FURAHA WAKULIMA WA PARETO JOJO MBEYA VIJIJINI
  • MAHUNDI ATIKISA UZINDUZI KAMPENI JIMBO LA LUPA
  • Kijana Maskini Aliyekuwa Hana Kazi Sasa Ni Meneja Anayetembea Gari
  • Wazazi Wawashangaza Majirani Baada ya Binti Yao Kukubali Kuwapa Nusu ya Mshahara Wake Bila Malalamiko
  • Dkt. Tulia: Michezo Ni Fursa ya Ajira kwa Vijana
  • Mwantona: Mama Samia Ni Shujaa wa Wakulima, Tumpe Kura za Historia
  • Nilijaribu Kuacha Ulevi Kwa Miaka 10 Lakini Siku Nilipopata Dawa Nilifunga Pombe Milele
  • ahati Ndingo: “Historia ya Dkt. Samia Wana Mbarali Tutaandika kwa Wino wa Dhahabu”
Facebook X (Twitter) Instagram
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
Home » ASKARI WANANDOA WALIOFARIKI KWA AJALI WAOMBEWA KWA KUFANYIWA IBADA
Video Mpya

ASKARI WANANDOA WALIOFARIKI KWA AJALI WAOMBEWA KWA KUFANYIWA IBADA

Mbeya YetuBy Mbeya YetuMarch 7, 2024No Comments20 Views
Facebook Twitter Pinterest LinkedIn WhatsApp Reddit Tumblr Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

Na. Mwandishi wetu Jeshi la Polisi- Arusha.

Mtandao wa Polisi wanawake Mkoa wa Arusha TPF-Net katika kuelekea siku ya wanawake Duniani leo wamefanya ibada maalumu kwa ajili ya kuwaombea Askari Polisi wanandoa waliofariki Dunia kwa ajali ya gari siku mbili baada ya kufunga ndoa.

Akiongea mara baada ya ibada hiyo iliyofanyika katika Kanisa la Mtakatifu Theresia Jijini Arusha Mkuu wa Dawati la Jinsia na Watoto Mkoani humo Mrakibu Msaidizi wa Polisi ASP Happiness Temu amesema mtandao huo umekuwa na utaratibu wa kuyakumbuka makundi mbalimbali yenye uhitaji katika jamii ambapo kwa mwaka huu waliona ni vyema kuwakumbuka Askari waliofariki kwa ajali.

ASP Temu amebainisha kuwa wameamua kufanya Ibada hiyo ikiwa ni sehemu ya kuwaombea marehemu hao ambao walikua wanafanya nao kazi Mkoani humo kabla kupatwa na umauti Disemba 20, 2022 ambapo pia katika ibada hiyo wamewaombea Watoto wawili ambao waliachwa na marehemu.

Nao baadhi ya askari wa mtaandao huo waliofanya kazi kwa Karibu na marehemu wamebainisha Pamoja na kuwaombea marehemu, pia wametumia ibada hiyo kumshukuru Mungu kwa kuendelea kuwalinda katika utekelezaji wa majukumu yao.

Kwa upande wake Mrakibu wa Polisi SP Asia Matauka ambaye anafanya kazi katika Mkoa wa Kilimanjaro amesema mara baada kusikia juu ya uwepo wa ibada hiyo aliona ni vyema kuungana na mtaandao huo kuwaombea marehemu.

Askari waliofariki na kufanyiwa ibada leo ni Konstebo Noah Simfukwe na Agness Martin.

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Telegram Email
Mbeya Yetu

Related Posts

KAMPUNI YA PYTEK YAWAPA FURAHA WAKULIMA WA PARETO JOJO MBEYA VIJIJINI

September 6, 2025

MAHUNDI ATIKISA UZINDUZI KAMPENI JIMBO LA LUPA

September 6, 2025

Dkt. Tulia: Michezo Ni Fursa ya Ajira kwa Vijana

September 5, 2025

Leave A Reply Cancel Reply

Top Posts

LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)

July 29, 2025206

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024184

WAHITIMU WA UUGUZI NA UKUNGA WAPEWA WITO WA KUONYESHA MAADILI, UPENDO NA HESHIMA KAZINI

August 28, 2025123

Njia rahisi ya kushinda kesi Mahakamani bila kutoa rushwa

February 7, 2025104
Don't Miss
Video Mpya

KAMPUNI YA PYTEK YAWAPA FURAHA WAKULIMA WA PARETO JOJO MBEYA VIJIJINI

By Mbeya YetuSeptember 6, 20250

MAHUNDI ATIKISA UZINDUZI KAMPENI JIMBO LA LUPA

September 6, 2025

Kijana Maskini Aliyekuwa Hana Kazi Sasa Ni Meneja Anayetembea Gari

September 6, 2025

Wazazi Wawashangaza Majirani Baada ya Binti Yao Kukubali Kuwapa Nusu ya Mshahara Wake Bila Malalamiko

September 6, 2025
Stay In Touch
  • Facebook
  • Twitter
  • Pinterest
  • Instagram
  • YouTube
  • Vimeo

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from SmartMag about art & design.

About Us
About Us

Mbeya Yetu is a dynamic online platform that serves as a comprehensive source for news and information, offering a diverse range of content that caters to the interests and needs of its audience. Focusing on key pillars such as Habari za Kijamii (Social News), Uchumi na Biashara (Economy and Business), Elimu na Vijana (Education and Youth), Afya na Ustawi (Health and Well-being), and Habari za Kitaifa (National News), Mbeya Yetu is committed to keeping its community informed and engaged.

Facebook X (Twitter) Pinterest YouTube WhatsApp
Our Picks

KAMPUNI YA PYTEK YAWAPA FURAHA WAKULIMA WA PARETO JOJO MBEYA VIJIJINI

September 6, 2025

MAHUNDI ATIKISA UZINDUZI KAMPENI JIMBO LA LUPA

September 6, 2025

Kijana Maskini Aliyekuwa Hana Kazi Sasa Ni Meneja Anayetembea Gari

September 6, 2025
Most Popular

LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)

July 29, 2025206

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024184

WAHITIMU WA UUGUZI NA UKUNGA WAPEWA WITO WA KUONYESHA MAADILI, UPENDO NA HESHIMA KAZINI

August 28, 2025123
© 2025 Mbeya Yetu. Powered by Digital Media Innovation Program.
  • Home

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.