Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt Damas Ndumbaro akizungumza na Wajumbe kujadili utekelezaji wa mkataba wa Kimataifa wa Kudhibiti matumizi ya ya dawa za kuongeza mbinu haramu michezoni.
Katibu Mtendaji wa Tume ya Taifa ya UNESCO Profesa Hamis Malebo akiwa katika kikao cha Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt Damas Ndumbaro cha kujadili utekelezaji wa mkataba wa Kimataifa wa Kudhibiti matumizi ya dawa za kuongeza mbinu haramu michezoni.
*Ni Utekelezaji wa mkataba wa UNESCO
Na Mwandishi Wetu
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Damas D. Ndumbaro (Mb) ameekutana na wajumbe katika kikao cha kujadili utekelezaji wa Mkataba wa Kimataifa wa Kudhibiti Matumizi ya dawa za kuongeza nguvu na mbinu haramu michezoni.
Kikao hicho kilijikita katika kilijadili kuhusu Utekelezaji wa mkataba huo wa UNESCO ambapo kwa upande wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Tume ya Taifa ya UNESCO inawajibika kuhakikisha kuwa Tanzania inauelewa vizuri mkataba ili iweze kutekeleza masuala yote yaliyoainishwa katika mkataba yenye maslahi mapana katika tasnia ya michezo.
Akizungumza katika mkutano huo amesema michezo inaheshima kubwa hivyo nahitaji kupewa thamani yake.
Kikao hicho cha Kitaifa cha Utekelezaji wa Mkataba wa Kimataifa wa Kudhibiti Dawa na Mbinu Haramu Michezoni.
Aidha katika katika kikoa hicho wajumbe Watathimini katika kujenga masuala michezo kusiwepo matumizi ya dawa za kuongeza mbinu haramu za kupata ushindi.