Siku moja tu baada ya Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi Sugu kuhukumiwa kifungo cha miezi mitano Jela Hakimu aliyemhukumu Sugu na mwenzie Masonga,Michael Mteite amechukua likizo ya wiki tatu.
Wakati huo huo CHADEMA wapo katika harakati za mwisho za kukata rufaa ya hukumu hiyo.
Trending
- Tiba kwa wanawake wanaokosa hamu ya tendo la ndoa
- Waziri Mkuu Ajibu Maswali Mazito Toka kwa Wahariri wa Vyombo vya Habari
- WAZIRI NANAUKA ATAKA VIJANA WASIKILIZWE
- Je, unatafuta kazi kwa muda mrefu fanya hivi
- Waziri Mkuu aagiza Kanisa la Ufufuo na Uzima kufunguliwa
- Kutoka hasara hadi faida katika biashara, mbinu ni hii
- Serie A yampa fedha baada ya kubaini mbinu bora ya betting
- Hatua moja muhimu ya kufanikiwa kibiashara

