Share Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email Hospitali ya Rufaa Kanda ya Mbeya(MZRH) imekuwa ni Hospitali ya kwanza nchini kuwa na huduma ya Mkalimani wa lugha ya alama. Mkalimani huyo ambaye ameajiriwa na Hospitali hiyo atatumika kuwasaidia Viziwi ili waweze kupata huduma bila usumbufu.
DKT MARY MWANJELWA AUNGANA NA WANANCHI KUPIGA KURA AHAMASISHA KUJITOKEZA KWA WINGI AMANI IMETAWALAOctober 29, 2025