Mshindi wa tuzo ya Malkia wa Nguvu Zuwena Mohamed almaarufu SHILOLE au SHISHI BABY!! amesema anawahusudu na kuwapenda sana wanaume wa Mkoa wa Mbeya kutokana na kuwa na nguvu kutokana kula chakula chenye nguvu Ugali na Dona.
Shilole amesema hayo wakati wa uzinduzi wa Mgahawa mpya ya kisasa Jijini Mbeya TEXAS RESTAURANT
#MbeyaYetuTv
Trending
- MWEF YATOA MSAADA KWA HOSPITALI YA WAZAZI META
- Nilipotedha fedha kwenye Bet kabla ya kushinda fedha nyingi
- ASKOFU MBEYA ATAHADHARISHA ASKARI KULETA TAHARUKI KWENYE UCHAGUZI, ATAKA WAUMINI KUJIANDIKISHA KURA
- Nilitapeliwa kiwanja, nikafungua kesi na nikashinda kwa njia hii!
- KUZAGAA MAJIKO YA KITIMOTO JIJINI MBEYA HALMASHAURI YA JIJI YATUPIWA LAWAMA, WAISLAMU WATOA TAMKO
- Namna nilivyopona magonjwa ya zinaa
- AFREY NSOMBA:”KASI YA DKT TULIA HAKUNA WA KUIZUIA,MAJIMBO MENGINE WANAMTAMANI BADO TUNAYE SANA”
- USHUHUDA UTEKELEZAJI ILANI WA MBUNGE DKT TULIA ACKSO WATOLEWA KIKAO HALMASHAURI KUU CCM MBEYA MJINI