#MbeyaYetuTv
Katika harakati zake za kupigania Uhuru wa Tanganyika Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alifika mkoani Mbeya na kupokelewa na wapigania Uhuru wakiongozwa na Bi Zeituni Matola ambako kwa sasa panaitwa Sokomatola.
Jina hili la Sokomatola limetokana na mwanamama huyu mwanaharakati Bointi ,Matola ambaye alidiriki kumficha Mwalimu Nyerere na kumtorosha kwa kumvalisha Baibui wakati akisakwa na wakoloni, hii ilikuwa ni mwanzoni mwa miaka ya 1950 kabla ya kuzaliwa Chama cha TANU.
Trending
- Njia ya kuwafanya watoto wako wafaulu mitihani yao hadi Chuo Kikuu
- Agizo la RC.Homera Kwa TARURA na Mkandarasi Laanza Kutekelezwa Ndani ya Siku Moja kifusi chasambazwa
- Baada ya kufunga harusi ya Sh200 milioni, nimemfumania mke wangu na house boy!
- RC. Homera atoa siku saba kwa mkandarasi kufikisha vifaa katika eneo la mradi wa barabara Iziwa
- Sengerema wanufaika na Minara
- NSOMBA: Amshukuru Rais Samia kwa Mradi Wa Ujenzi Wa Stend Mpya Ya Mabasi Jijini Mbeya
- Mahundi atembelea Kituo cha Mkonga wa Taifa Makongolosi, Mbeya”
- RC. Homera akerwa na mkandarasi Ampa siku Tatu kusambaza kifusi